Wakinga na wazungu kwa Nini Wana majina ya ajabu?

Mkinga mfano unakuta anaitwa Disk Sanga na Mzungu unakuta anaitwa George Bush .Mkinga unakuta anaitwa Fulllight Sanga Mzungu unakuta anaitwa Peter Green.Hivi Hawa watu asili yao Moja au?
ohh wengine tuna majina mzuri japo kuna mdogo wangu anaitwa costa sanga ...so fun
 
Atujamiike mwakaforam
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom