Wakinga na wazungu kwa Nini Wana majina ya ajabu?

Mzungu mfano Waziri mkuu wa uingereza aliyepita anaitwa Teresa May mkinga unakuta anaitwa January Sanga..Wanashindana kupeana majina ya miezi
 
Rubbish!
Mkinga mfano unakuta anaitwa Disk Sanga na Mzungu unakuta anaitwa George Bush .Mkinga unakuta anaitwa Fulllight Sanga Mzungu unakuta anaitwa Peter Green.Hivi Hawa watu asili yao Moja au?
 
Back
Top Bottom