Wakinga huenda wakauangusha umaarufu wa kibiashara wa Wachaga

😅😃😃😃....

Makabila na biashara ni vitu viwili tofauti..

Business is all about idea....ukiwa na idea nzuri ya biashara na ukaiweka ktk vitendo unatoboa.

Lakini utakuwa unajidanganya kuamini kwamba utafanikiwa/utatoboa bila ushirikiano kutoka kwa watu wengine.

Success is all about connection and corporation...

Sasa hayo makabila mnayoyataja na hao wahindi,waarabu na wachina n.k wanatumia hii kitu.... connection and corporation.

Makabila/jamii nyingine ndugu akifanikiwa tu either arogwe au ndugu wamuibie then afirisike ndo furaha yao.

take it or leave it.
 
Wazee wa mapembelo vavene nawakubali sana ila tatizo ni moja tu, watu wakiona tubwamefanikiwa wananza kudhani wametumia ushirikina kwenye biashara

Jamaa ni wanapiga kazi siku 7 hakuna kipumzika kasoro labda krismasi

Huenda kuna baadhi wanatumia uchawi ila hata makabila mengine hata yakitumia mbona hawafiki mbali 😁😁

Uchawi ni juhudi, na kikweli wana juhudi sana na hawana matumizi holela
 
....

Makabila na biashara ni vitu viwili tofauti..

Business is all about idea....ukiwa na idea nzuri ya biashara na ukaiweka ktk vitendo unatoboa.

Lakini utakuwa unajidanganya kuamini kwamba utafanikiwa/utatoboa bila ushirikiano kutoka kwa watu wengine.

Success is all about connection and corporation...

Sasa hayo makabila mnayoyataja na hao wahindi,waarabu na wachina n.k wanatumia hii kitu.... connection and corporation.

Makabila/jamii nyingine ndugu akifanikiwa tu either arogwe au ndugu wamuibie then afirisike ndo furaha yao.

take it or leave it.
So far kuna mambo ninayafanya na ninasonga mbele kutokana na connection, kweli bila connection na cooperation kutoboa ni kipengele
 
Nakudharau kwa Sababu haupo kwenye mfumo wa Biashara za Kariakoo na Jinsi zinavyoenda na wakinga na wabena walivyofanikiwa...Kama hujui kitu kaa kimyaa

wewe huna cha kunidharau nakwambiaje wewe kwa akili hizo utakufa masikini sasa mwanaume kabis unampangia mwanaume mwenzako matumizi ya pesa zake eti hela anazo ila ananikatalia kunikopa na unakuja kulialia humu wabongo kama nyie mpo wengi sana na mnakera sana mkimuona mtu ana hela hamuishi kwenda kulialia shida zenu kwake pumbavu kabisa na kwa akili hizo ndo maana jamaa hajakupa upambane na upuuzi wako
 
Kuna Mchagga Mmoja jirani Yangu na tunafanya Biashara wote nilimuazima Millioni Tano nimrudishie mwisho wa mwezi ..maana mzigo wangu ndo ulikua upo Bandarini unaingia...so nilitaka mzigo wa Bandarini Ukifika tu Dukani Tayari niwe nishaagiza mwingine....ili wateja wasikose Tena Mali...Alichonijibuu daah niliweka moyoni...na ninasali nae Jumuiya na kanisa moja piah ...so anamfaamu vizuri na Mimi nafaamu vizuri sio wa kukosa 5M Hadi 10M maana nilishafanya uchunguzi muda Sana pia...na Ni Tajiri MKUBWA Sana hapa Tanzania kiasi...
Heko kwa wakinga...jitihada zao zinaonekana kila siku
Wakinga wana UTU sana na kujali wengine sio?
 
Kukopeshwa sio lazima ni hiyari ya mtoaji huo mkopo.. haukupaswa ku-mind

Labda tu kama alikujibu maneno mabaya
But hatupaswi kuchukua kwa sababu ya kunyimwa kitu/vitu. Kutoa kitu unapoombwa ni hiyari na sio shurti
 
Kuna Mchagga Mmoja jirani Yangu na tunafanya Biashara wote nilimuazima Millioni Tano nimrudishie mwisho wa mwezi ..maana mzigo wangu ndo ulikua upo Bandarini unaingia...so nilitaka mzigo wa Bandarini Ukifika tu Dukani Tayari niwe nishaagiza mwingine....ili wateja wasikose Tena Mali...Alichonijibuu daah niliweka moyoni...na ninasali nae Jumuiya na kanisa moja piah ...so anamfaamu vizuri na Mimi nafaamu vizuri sio wa kukosa 5M Hadi 10M maana nilishafanya uchunguzi muda Sana pia...na Ni Tajiri MKUBWA Sana hapa Tanzania kiasi...
Heko kwa wakinga...jitihada zao zinaonekana kila siku
Huna tofauti na Kigwangala alivyokopa pikipiki kwa Mo, aliponyimwa alilalamika sana.
 
Kuna Mchagga Mmoja jirani Yangu na tunafanya Biashara wote nilimuazima Millioni Tano nimrudishie mwisho wa mwezi ..maana mzigo wangu ndo ulikua upo Bandarini unaingia...so nilitaka mzigo wa Bandarini Ukifika tu Dukani Tayari niwe nishaagiza mwingine....ili wateja wasikose Tena Mali...Alichonijibuu daah niliweka moyoni...na ninasali nae Jumuiya na kanisa moja piah ...so anamfaamu vizuri na Mimi nafaamu vizuri sio wa kukosa 5M Hadi 10M maana nilishafanya uchunguzi muda Sana pia...na Ni Tajiri MKUBWA Sana hapa Tanzania kiasi...
Heko kwa wakinga...jitihada zao zinaonekana kila siku
Sasa mkuu huo muda wote uliopoteza kwenda kumfanyia jamaa uchunguzi kama ana Milioni tano au kumi si ungekuwa ushajaza fomu za mkopo Bank? Au ulikuwa unataka tu akunyime ukamchukulie busha la buku Bagamoyo?
 
Nawaona ndugu zetu hawa wa jamii ya kikinga katika mikutano yao ya pamoja ya kimkakati juu ya jinsi gani watafanya biashara ambayo itawaletea utajirisho mkubwa katika vikao vyao mbalimbali sehemu mbalimbali hapa Kijini Dar es Salaam (Bungoni na Tabata) ndani ya mahoteli nadhifu sana na ya kisasa

Wana mifuko ya kusaidiana kimitaji wana kamati zenye upendo wa ajabu za kusaidiana katika kila hatua ya kibiashara na mengineyo mengi tu mazuri sana

Tukijia upande wa pili wa Ndugu zetu zetu Wachagga leo hii wamekuwa hawana umoja tena wa kusaidiana kibiashara kila mmoja anakufa kivyake umoja zaidi wameupeleka kwenye kuzikana na harusi

Huku kila mmoja akiuonyesha ufahari wake ya kwamba yeye ni nani hapa Dar es Salaam forensic za kibiashara wameziacha kila mmoja afe kivyake hakika hili ni anguko kuu kwa jamii hii iliyokuwa na wafanya biashara mashuhuri
Ni kweli ila kuwafikia wachagga it is a long way to go... walishatangulia mbele kama miaka 20-30 hivi!!
 
Ila wachaga wa siku hizi wameanza kujisahau sana...

Kile kizazi cha wachaga wajanja kinapotea nadhani ni kwasababu wameanza kusoma na ile mentality ya biashara inapotea,wameanza kupokea mishahara ya 1million kwa mwezi na kujazana ofisini..

Ile advantage yao ya kuwa wafanyabiashara mashuhuri inaondoka kila elimu inapozidi kuwafikia. Hizi payrol zinapumbaza sana
 
Back
Top Bottom