Wakina mama na watoto wao wa Kiume!

Napenda mume wangu anavyowaziba midomo hawa wenye vimbelembele! hawana nafasi hata kidogo ya kuninyanyasa. Mwanaume anatakiwa awe na msimamo wake mke na mama kila mtu awe na haki yake kwake kwa wakati wake
 
Nakuunga mkono Gaga, maana siku zote mwanaume akiwa na msimamo ndugu zake hawana kitu. Lakini mume akiwa upande wao tu basi mke kwishiney.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom