Sihali
Member
- Nov 17, 2010
- 88
- 12
Mimi nadhani wanamatatizo kwenye Bongo zao. Huo sawa na utumwa
Hivi hii tabia ya wanawake ya kujikoboa ngozi zao na kuwa wekundu hawajui kama inawashushia heshima yao katika jamii? Yaani leo nimekutana nimekutana na mwanamke amejikoboa ngozi kuanzia usoni hadi kidole cha mguu ila cha kusikitisha badala ya kuwa mweupe amekuwa mwekundu , yaani hii inachefua sana