Wakina mama mtaacha lini hii tabia ya kujichubua ngozi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakina mama mtaacha lini hii tabia ya kujichubua ngozi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nitonye, Jan 11, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Hivi hii tabia ya wanawake ya kujikoboa ngozi zao na kuwa wekundu hawajui kama inawashushia heshima yao katika jamii? Yaani leo nimekutana nimekutana na mwanamke amejikoboa ngozi kuanzia usoni hadi kidole cha mguu ila cha kusikitisha badala ya kuwa mweupe amekuwa mwekundu , yaani hii inachefua sana
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mwanamke akijichubua ngozi huwa naona yupo kibiashara zaidi
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  siku hizi wapo pia wanaume wanaojichubua tena bila aibu.


  Badilisha heading iwe "Wakina mama na baba mtaacha lini kujichubua"?
   
 4. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mwanaume kujichubua sio bure huenda akawa bwabwa
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Nadhani hiyo heading inatosha coz wanaume wanaojichubua ni sawa na wanawake
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hao wanaitwa NOAH aka KITIMOTO aka MBUZI KATOLIKI aka NGURUE
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Nakupa 100% lakini vp wewe ngozi hujaichakachua bado?
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wanafanya kwa raha zao ....
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kila mwanaume na amkataze mkewe/mchumba wake! Kila mzazi/mlezi na amkataze mwanae!!
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hadi wanamme mtakapothamini weusi wetu.
   
 11. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Wanawake je?
   
 12. i

  ivy blue carter Senior Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmh wamepitwa na wakat hao yan bado wanachichubua mmh. bs kaaaziiii.
  love ur skin colour n everybody else will too. hawajajikubali hao sijui wa wap mmh?
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni kutojikubali ndio kunawaponza wengi,
  Kuiga marafiki na kampan za watu wanaojichubua pia kunawafikisha wengi kwenye hali hiyo,
  Elimu ya kujikubali na kuwajuza madhara ya kujichubua ndio inahitajika kuondosha hili tatizo.
   
 14. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huo ni ulimbukeni, wanadhani wakiwa hivyo ndio wanapendeza. Aaaaigrrhh**x@#..!!! Thuu.
   
 15. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hahahaa hivi bado wanajibua!!???

  labda wanaogopa kufanana na weye hapo kwenye avata yako hihihiiiiiiiiii lol
   
 16. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 17. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Wakikaa kama hivi si ndo powa
   
 18. Ndetirima

  Ndetirima JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Kuna kasumba ya kupenda wanawake weupe kwa baadhi ya makabila. Na pia wanawake wenyewe ndio wanaozidisha kuonyesha kwamba mwanamke mweupe ndio mzuri wakati sio kweli. Kwa mfano hata Mama yangu mzazi sio mweupe lakini anapendaga kusema fulani kaoa mwanamke mweusi kama nini au mke wa fulani mrembo kweli mweupee. ILA MTU PEKEE ANAYEWEZA KUSABABISHA MAGEUZI NI MWANAUME KUONYESHA DHARAU KWA WOTE WALIOJICHUBUA NA KUKATAA MKE, MPENZI AU MWANAE KUTUMIA MADAWA YA KUJICHUBUA. Mimi binafsi mke wangu wakati tukiwa wapenzi nilimpiga marufuku kutumia hayo madawa na nikamwambia nimekupenda jinsi ulivyo, utakapo jichubua tusijuane maana niliona dalili za kutaka kutumia mkorogo akifundishwa na marafiki zake.
   
 19. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ki ukweli hata mvuto unapotea.................nampenda shemegy?/wifi enu ni ana natural colour,jamani me nafaidi loooh
   
 20. JS

  JS JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mpaka pale wanaume mtaaacha kutamani wanawake weupe na sie tutaacha kujichubua....mpaka hapo mwendo ni ule ule
   
Loading...