mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Yaani housegirl anamiaka sita hajawahi kulipwa mishahara....
Akidai anaambiwa kwani mbona nakununulia nguo nakukulisha...
Akikomaa utasikia mbona nakulea hapa kama mwanangu
Akizidi zaidi utasikia ukirudi kwenu utapata tabu sana, Umesahau ulivyokuja umepauka!!!!
Wana wakike tatizo ni nini kuwafanyia ufisadi watoto wa wa wanawake wenzenu ?...
Kwa nini inakuwa vigumu kuwalipa wadada wa kazi?
Je mkiambiwa mwawekee na pesa mifuko ya jamii mfano NSSF/PPF inakuwaje....
Nini Chanzo cha tatizo?