Wakina kaka ungependa kupokea zawadi gani kutoka kwa mkeo fathers day is coming

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
3,947
2,000
Siku ya kusherehekea mababa tarehe 15 .wanama wote ni siku ya kum dekeza Mumeo na kumzawadia .Je Kama wewe ni baba ungependa zawadi gani haswa itakayokufurahisha .
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
40,643
2,000
Siku ya kusherehekea mababa tarehe 15 .wanama wote ni siku ya kum dekeza Mumeo na kumzawadia .Je Kama wewe ni baba ungependa zawadi gani haswa itakayokufurahisha .

mbona umetutenga sisi mababa tusiokuwa na wake?? au hatustahili kuzawadiwa hio fathers day?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom