Kunuka miguu: Chanzo na tiba

Jamani makaka,

Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Makaka ni nini hiki?
Umeshawahi hudhuria gheto za hao wakaka wangapi ? Je Unazungumzia Wakaka hawa wa Secondari au unazungumzia Wanaume? Mimi Kama Mwanaume sijawahi kunuka Miguu wala Socks
 
Umeshawahi hudhuria gheto za hao wakaka wangapi ? Je Unazungumzia Wakaka hawa wa Secondari au unazungumzia Wanaume? Mimi Kama Mwanaume sijawahi kunuka Miguu wala Socks
Jamani mimi nikitoka na wakaka wa secondary itakuwa paedophile ya kike tena. Ni wakaka wanaofanya kazi tena wengine wanaitwa baba.
 
Fangasi, miguu iyolowa, soski ambazo hazijakauka, kutokufua soski mda mrefu, na kushinda umevaa viatu juani ndo sababu
 
Matatizo hawana mihuri usoni, ni mpaka mfike pa kufika avua viatu utafikiri kuna panya alifia kwenye viatu.
Wakunuka anajulikana, mtu kashinda anazulula kwenye vibanda vya kubetia kutwa nzima, harafu akirudi geto hakuna maji anaachaje kunuka?
 
Inategemeana na mazingira pia na aina ya miili pia husababisha hiyo hali..
 
Jamani makaka,

Unamkuta mkaka handsome, subiri muingie mahali muambiwe kuvua viatu, kwanza anajikanyaga kumbe socks zimetoboka, haya utamuonea huruma, sasa huo uvundo unaotoka miguuni, unaweza kumkana kuwa humfahamu. Kama umemkaribisha nyumbani kwako, ndioy inabidi ufungue madirisha ukidai ni joto, hata kama inabidi utupie kisweater na kibaridi hiki cha June. Makaka ni nini hiki?
Sky Eclat: Handsome sio sura Fascial. Handsome ni pamoja na utanashati (smartness)
Handsome hapaswi kunuka mguu. Anapaswa kuwa na soksi safi, nyingi. Miguu misafi,viatu visafi (havina unyevu)
Anakausha miguu kabla ya kuvaa viatu.
Kama ana fungi (fungus) atatumia powder kukausha unyevu miguuni.
 
Fangasi, miguu iyolowa, soski ambazo hazijakauka, kutokufua soski mda mrefu, na kushinda umevaa viatu juani ndo sababu
Mkuu socks inatakiwa uwe na pair kwa kila siku, na zote zinafuliwa weekend, viatu uwe na angalau pair mbili unavaa moja leo kesho unaicha kwanza itulie, pia sijui mna haraka ya kwenda wapi mkitoka kuoga hamkaushi miguu vizuri na taulo.
 
Jamani mimi nikitoka na wakaka wa secondary itakuwa paedophile ya kike tena. Ni wakaka wanaofanya kazi tena wengine wanaitwa baba.
Hawajitambui hao watoto wa mama. Anavaa soksi pair Moja week.chupi hawafui wkt wa kuoga (DSM maji shida)
Achana kuongozana na wavulana, tafuta wanaume vijana.
 
Back
Top Bottom