Wakina Halima Mdee wamekataa kwenda kumsalimia Mbowe Mahabusu?

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Wahenga walisema ukistaajabu ya Farao utashangaa ya Musa. Najaribu kutafuta picha kama akina Mdee na wenzake kwa jinsi walivyokuwa kindakindaki na utii ndani ya chama na mwenyekiti, wadada wa Bawacha walikuwa na makesi kibao ya kumtii Mwenyekiti lakini leo kunauadui zaidi ya ule wa chui na paka kweli hizi ni si-asa.

Mi nakiona kama kitendo cha hawa wamama ni utovu wa nidhamu na kukosa adabu kwa bosi na chama, kwasababu wao watasema wametufukuza chamani, sasa kwa mwanachama wa Chadema hii si hoja ya msingi kwasababu inajulikana na kila mtu anajua kile chama akijaanza leo kufukuzana, hii ni kama sera na kina COVID wanajua hayo. Na watakuwa watu wa ajabu kama wewe ni mwanachama au kiongozi ukae siku zote unaona wenzako wakifukuzwa unakenua meno leo umetimiliwa wewe unaweka jilaz yaani hata kutoa ushirikiano katika tatizo utaki. Kwani hamjui kuwa katika hicho chama mara zote watu wanatumika kama mipira ya kiume.

Nakama uadui huu kwa sasa ni mkubwa hivi na wale COVID 19 walikuwa wanajua siri zote za chama kuanzia nje ya suruali mpaka ndani si ni hatari hasa katika kipindi hiki na haya mambo. Maana kila taasisi duniani inasiri zake na ndiyo uhimara wake sasa hii taasisi kama itakuwa uchi ni hatari sana kwao kama chama. Maana hata huku kwetu kanisani katika hizi taasisi tuna siri zetu na zinatusaidia sana katika maswala mengi mpaka katika ukusanyaji wa sadaka sembuse chama cha siasa.
 
Usema kweli wale COVID wanajua mchango wa Mbowe kwenye maisha yao hata huo ukovid wameupata baada ya CDM chini ya Mbowe kuwa tishio kwenye serekali ya mwendazake
 
Wahenga walisema ukistaajabu ya Farao utashangaa ya Musa. Najaribu kutafuta picha kama akina Mdee na wenzake kwa jinsi walivyokuwa kindakindaki na utii ndani ya chama na mwenyekiti, wadada wa Bawacha walikuwa na makesi kibao ya kumtii Mwenyekiti lakini leo kunauadui zaidi ya ule wa chui na paka kweli hizi ni si-asa.

Mi nakiona kama kitendo cha hawa wamama ni utovu wa nidhamu na kukosa adabu kwa bosi na chama, kwasababu wao watasema wametufukuza chamani, sasa kwa mwanachama wa Chadema hii si hoja ya msingi kwasababu inajulikana na kila mtu anajua kile chama akijaanza leo kufukuzana, hii ni kama sera na kina COVID wanajua hayo. Na watakuwa watu wa ajabu kama wewe ni mwanachama au kiongozi ukae siku zote unaona wenzako wakifukuzwa unakenua meno leo umetimiliwa wewe unaweka jilaz yaani hata kutoa ushirikiano katika tatizo utaki. Kwani hamjui kuwa katika hicho chama mara zote watu wanatumika kama mipira ya kiume.

Nakama uadui huu kwa sasa ni mkubwa hivi na wale COVID 19 walikuwa wanajua siri zote za chama kuanzia nje ya suruali mpaka ndani si ni hatari hasa katika kipindi hiki na haya mambo. Maana kila taasisi duniani inasiri zake na ndiyo uhimara wake sasa hii taasisi kama itakuwa uchi ni hatari sana kwao kama chama. Maana hata huku kwetu kanisani katika hizi taasisi tuna siri zetu na zinatusaidia sana katika maswala mengi mpaka katika ukusanyaji wa sadaka sembuse chama cha siasa.
Daaah 😂 eti COVID nyie watu nyie!!
 
Wa

Wapo kwenye ajira , hivyo kutoka lazima wapewe ruhusa na mwajiri wao. Mzee wa bakora .
 
Umeileta kiumbea zaidi, hata hivyo hao akina Mdee hawatakiwi kwenda maana watamtia Mbowe gundu.
 
Chadema kama haiwataki kina mdee wakifute chama Cha chadema wasajili chama kwa jina lingine jipya ili sasa wao wabaki wabunge wasio na chama kitu ambacho hakipo kwenye katiba bila hivyo hao ni bado ni wanachama halali wa chadema
 
Back
Top Bottom