Wakina dada wa JF acheni kufunga pm zenu

Mwanadada aliyepo Kigoma naomba ani PM.

Mwisho Ijumaa.

Kisha yule wa Dodoma uta ni PM kuanzia jumapili.
 
Ila kidogo me nawapongeza mnaofunga pm zenu jaman maana naomba ieleweke sio wadada wote wa humu jf wapo single. Sasa wakina wanaacha milango wazi kwa kila mtu mnatukaribishia Competition aisee
NB:Mama watoto chonde chonde funga hivyo hivyo unanijua vizuri sitaki mambo ya shetani alinipitia

 
Mambo.Naomba unielekeze jinsi ya kufunga PM please.
Pole maa. Nimeshasahau hata jinsi ya kufunga huwezi amini. We iache wazi wakija wajinga wajinga usiwajibu ndo dawa. Mi yangu iko wazi mwaka wa 3 sijui ila nachagua wa kujibu.
 
Tatizo yule member wa kiume kidume ndiye aliyewakimbiza wadada mpaka kufunga pm yuleee mwenye uparaaa kibongeee wadada mpaka sasa hivi wanaogopa na wanapishana na magari ya mishahara.

Nyongeza jaman sijafunga pm aliyepo Dodoma anaipm Leo Nina nygeeee.
Wewe ni ki ke ao me
 
Jamani aiache wazi tena
Eeeh. Kujibu ni maamuzi. Mi nimetukanwa sana humu yani na wanaume. Wengine usipojibu pm anakuja kukumalizia hasira jukwaani, mwingine anakuandikia akichoka anakutukana huko huko pm. Mwanzoni walikua wananishughulisha. Sasa hivi sijali yani mtu aandike mpaka aandike tena sijisikii kujibu sijibu hata atukane simjibu ng'oo
 
Back
Top Bottom