Wakina dada wa JF acheni kufunga pm zenu

Bila kumsahau Kiranga nataka nije tule pension hiyo mbaba fungua PM.
Mimi ukiniona nimekujibu tu ujue PM yangu iko open, kuna "flat earth society" fulani nimewapiga ban, hao hata wanachoandika sikioni, labda hao ndio hawawezi kunitumia message.

Mwanamme anayelazimisha ufungue PM hakawii kulazimisha ufungue chupi.

That's thirsty and shady.
 
Ngoja nianze safari ya kuzama Pm

Back
Top Bottom