Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,297
- 122,384
Hahaha aiseee
Hahaha aiseee
Hahahaha broHahaha kwani nikuzimikia I'd tu pekee huko huwa watu Wana Tiana genye kwa kutumiana mapicha picha. ...
Sasa waweza kuta umenitumia picha halafu nikakuta mtoto una ng'aa kama mbala mwezi. ..Hapo sasa lazima nitaingia maharibuni tu ..nikikuacha hata kuku watanicheka. .... so ili kujiepusha na yote hayo ndio maana huwa na amua kupiga kufuli
AiseWalivokuwa washamba washamba Pm ilikuwa wazi,,
Baada ya kutongozwa na wengine kuliwa na hatimaye na zile screenshoot kuwekwa hapa na baadhi ya mabaharia ndio wakastuka kwamba wameliwa na kuanikwa hadharani, wakaamua kupiga lock,,
Ukiona kafunga PM yameshamkuta ya kumkuta
Hahaha broh kwani uongo?Hahahaha bro
Hahah ukweli mtupu bro,unakuta mtoto ana rangi ya mtume sioHahaha broh kwani uongo?
Walivokuwa washamba washamba Pm ilikuwa wazi,,
Baada ya kutongozwa na wengine kuliwa na hatimaye na zile screenshoot kuwekwa hapa na baadhi ya mabaharia ndio wakastuka kwamba wameliwa na kuanikwa hadharani, wakaamua kupiga lock,,
Ukiona kafunga PM yameshamkuta ya kumkuta
Hivi una nini??? We mwenyewe umefunga ya kwako
Hahah ukweli mtupu bro,unakuta mtoto ana rangi ya mtume sio
Dah!Tatizo yule member wa kiume kidume ndiye aliyewakimbiza wadada mpaka kufunga pm yuleee mwenye uparaaa kibongeee wadada mpaka sasa hivi wanaogopa na wanapishana na magari ya mishahara.
Nyongeza jaman sijafunga pm aliyepo Dodoma anaipm Leo Nina nygeeee.
Huu ndo ukweli mkuuu,Mkuuu umegusa mioyo ya watu papuchi imeliwaa vibaya mno na kale kananii kapewa
HahahaAcha kabisa mkuu ..Hapo lazima uingie kwenye nyavu
Kwahiyo tufungue?Hahaha mna watesa Vijana wawatu aise
Kwahiyo tufungue?
Subirini yesu ashukeWhat are you waiting for ?
Hahahahaaa.Tena hawa wafungua nyuzi za kuomba kufunguliwa pm ndio mafurushi kabisa. Sijui hata vichwani mwao huwa wanawaza nini, maana vitu wanavyoandika ni ishara tosha la ombwe lililopo vichwani mwao
Ni vyema na heri zifungwe tu hizo pm.
Acha tu wawafungie.
Mafurushi.
Subirini yesu ashuke
hahaha !! Niko Ihumwa Pasikuzotee karibu ManofuTatizo yule member wa kiume kidume ndiye aliyewakimbiza wadada mpaka kufunga pm yuleee mwenye uparaaa kibongeee wadada mpaka sasa hivi wanaogopa na wanapishana na magari ya mishahara.
Nyongeza jaman sijafunga pm aliyepo Dodoma anaipm Leo Nina nygeeee.