Wakina dada na kipindi cha Nuhu.

binjo

JF-Expert Member
Feb 22, 2016
2,115
1,240
Kumbukumbuku zangu za kusoma vitabu vya dini zinaniambia wanaume walichangia sana mji ule kuharibiwa.

Imekuwaje kwa tabia zilezile zilizohuharibu mji ule dada zetu mzipende kwa kasi?
 
Akili za wadada wa sasa hivi hazina tofauti na nyoka ( nazungumzia wadada sio wanawake)
 
Umeona wakina dada tu??
Nimeona wakina dada kwa kuwa zile tabia hazikuwa zao zilikuwa za wanaume na zilisababisha maafa makuu lakini matokeo yake wanavamia kwa kasi zaid ingali wanajua ilikuwa chukizo machoni pa Mungu kipi kimewasibu.?
 
Tabia zipi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom