Wakina dada achaneni na mambo ya kiswahili swahili kuweni Real.

Micro IQ

Member
May 13, 2018
73
122
inshort katika kitu kina kela kwa kina dada wengi wa kibongo basi ni hayo mambo yao ya kiswahili swahili.

Utakuta mtu ni mpenzi wako na una nia nae kabisa lakini bado anakuwa na zile itikadi za kiswazi maneno mengi lakini hakuna ukweli kabisa

Kwa nini usiwe Real tu mtu unakuta anahudumia vizuri lakini likija swala labda la kumeet basi anakubali lakini nyuma ya pazia anaanza mizungusho kibao mpaka anaboa.

Yaani katika kitu mnakosea wakina dada basi ni hicho mtu kama hauna nafasi maybe ya kumeet unasema mapema kuliko unamtia mtu moyo mwisho wa siku unazingua kibishi.

Gharama za huduma tunazowapa ni kubwa sana basi tu hatuna jinsi ila laiti mngejua hizo gharama mtu kama angekuwa anahitaji kupata Ngono tu Asingeweza kushindwa kwa sababu kuna wengi tu watoa huduma.

Yaani ingekuwa hivi mtu akiwa na hamu basi anaingia zake chimbo anachukua mmoja anapiga akimaliza anampa stahiki yake mpaka siku nyingine tena akiwa na hamu anatafuta mwingine.

Ukiona mpaka mtu anakuhudumia basi jua wazi anakupenda cha kufanya acha hizo danganya danganya toto zako mwisho wa siku upate kuolewa.

Unavyojifanya na kujiona mjanja wa kula vya wanaume basi jua Unapishana na Gari ya mshahara ukija kushituka wenzio wote wameolewa umebaki wewe tu na vitoto ulivyozalishwa kila mtu na baba yake na kuachwa kuwa single mother wa maisha .
 
Hawa wadada wengine ndo wanafanyaga kuolewa ni bahati, kumbe ni heshima na staha kwa mwanamke anaejielewa, mtu unakuwa na vipengele vingiiiiiii
 
wewe achana nae....papuchi zimejaa kibaoo mtaani mwanamke aringe kisa papuchi mie nampotezea tuu. upendo wenyewe hawanaga hawa warembo all they need from u is cash and all i need fromthem is papuchi. nikitaka love naenda kwa mama.
 
Back
Top Bottom