Wakimbizi wa kiume {arabs} wapigwa marufuku kwenye swimming pools nchini ujerumani

Status
Not open for further replies.

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
German town has banned male asylum seekers from a public swimming pool after women complained of harassment.
A government official in Bornheim said men from a nearby asylum shelter would be barred until they "got the message" that such behaviour was not acceptable.
It follows outrage over hundreds of sexual assaults in nearby Cologne and other German cities on New Year's Eve.
Those attacks, by men of mainly Arab and North African origin, raised tensions over the influx of migrants.
More than 1.1 million people claimed asylum in Germany in 2015.
Image copyrightAFP
Image caption
It is unclear how the ban will be enforced
The head of the social affairs department in Bornheim - about 20km (12 miles) south of Cologne - said the move to ban migrant men followed increasing number of reports of inappropriate behaviour from female swimmers and staff members.
"There have been complaints of sexual harassment and chatting-up going on in this swimming pool... by groups of young men, and this has prompted some women to leave," Markus Schnapka told Reuters.
 
waarabu kiasili ni washamba wa wanawake ndio maana wamewageuza wanawake wao kama magogo
 
Hata waafrika hatujazoea sana kuona wanawake kwenye bikini. Tuliwahi kukaribishwa beach wakati tunasoma nje ya nchi tukashindwa kuogelea kwa sababu vijana wengine wa kiume baada ya kuona wasichana wakiwa kwenye chupi za kuogelea walishindwa kuvumilia na nguo zao zilituna sana pale mbele wakaona aibu
 
Tamaduni tofauti ila sio sababu ya kukufanya ubake,kama unaona utamaduni wa nchi uliyopo Basi rudi kwenu.
 
Hii safi sana, there should be no arab sentiments duniani kwani ujinga wanao ukimbia kwao hupeleka nchi zilizo starahabika. Hao waarab kama wanataka amani na kuishi kwa furaha kwa nini wazikimbie nchi zao na kwenda kupeleka ujinga huko waendako? I agree with President Putin kwamba "kuwasamehe hawa wehu is up to God, ila kuwapeleka kwa Mungu ni jukumu lake."
 
Jamani hata sisi waafrika "ubaridi" wakizungu hatuna na hatuuwezi!vimini tu vinatusumbua ndio uje kustahamili chuchu nje shavu la siri nje! Sina ukhanithi huo mie nitafedheheka tu kwa mdiso!
 
Hawa jamaa ni tabu tupu
Kukaribishwa kwenye nchi ya watu kwa kusaidiwa bado wanapeleka matatizo yao tena
 
Hata waafrika hatujazoea sana kuona wanawake kwenye bikini. Tuliwahi kukaribishwa beach wakati tunasoma nje ya nchi tukashindwa kuogelea kwa sababu vijana wengine wa kiume baada ya kuona wasichana wakiwa kwenye chupi za kuogelea walishindwa kuvumilia na nguo zao zilituna sana pale mbele wakaona aibu
ha haa haaaaa
 
Waarabu hawana ustarabu kabisa!,siwanawaita wazungu ni makafiri!,sasa mbona wanakimbilia tena huko?.
 
Hii safi sana, there should be no arab sentiments duniani kwani ujinga wanao ukimbia kwao hupeleka nchi zilizo starahabika. Hao waarab kama wanataka amani na kuishi kwa furaha kwa nini wazikimbie nchi zao na kwenda kupeleka ujinga huko waendako? I agree with President Putin kwamba "kuwasamehe hawa wehu is up to God, ila kuwapeleka kwa Mungu ni jukumu lake."
Inaonekana ww akili yako haina akili hebu eleza maana ya neno (USATARAB) sio tu unakurupuka tu na comment zako za hovyo hovyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom