Wakimbizi nchini

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
543
195
Kwa sasa watanzania tunaishi zaidi ya wakimbizi nchin kwetu haki zetu wanapewa wageni huku tukiendelea kulia na kuumiza vichwa.
Ni lini mwisho wa huu upuuzi.?
 

rubaman

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
4,967
2,000
Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo inathamini wageni kuliko wazawa.Sijui kwa nini watanzania tunaendekeza huu upuuzi? Hizi sifa za "watanzania wema, watanzania wana upendo" ndio zimetufikisha hapa. Haki zetu zinachukuliwa na wageni tunabaki kutazama na kulia, hatujui kudai haki zetu by any means necessary.

nawakilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom