Wakimbizi na wahamiaji haramu wazidi kuvuka mipaka ya Ulaya

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,531
44,642
Wengi wao NI kutoka Bangladesh,Tunisia na misri.zaidi ya wahamiaji 1200 wamefariki katika bahari ya Mediterranean mwaka huu..Kuna ongezeko la idadi 84% ya wakimbizi kulinganisha na mwaka Jana..kutoka 2014 mpaka Sasa zaidi ya wahamiaji haramu 12000 wamefariki kutokana na boti wanazopanda kuelemewa na watu..mpaka Sasa zaidi ya wakimbizi 114000 wamekwisha vuka kuingia ulaya toka mwaka 2014.
 
Wanakimbilia kwa wala kitimoto wamechoka kuziuwa kula kitimoto kwenye nchi zao wakati kitimoto ni nyama pendwa...acha wakale kitimoto kwa uhuru na maisha ya endelee.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanakimbilia kwa wala kitimoto wamechoka kuziuwa kula kitimoto kwenye nchi zao wakati kitimoto ni nyama pendwa...acha wakale kitimoto kwa uhuru na maisha ya endelee.

#MaendeleoHayanaChama
Leo nimeila asee.ukienda ulizia kombe mguu wa mbele wa nguruwe ndo unaitwa kombe NI tamu balaa.
IMG_20220727_124226_5.jpg
 
Halafu kuna watu wanaona sie Tanzania tuna hali ngumu kuliko hao Jamaa

idadi ya Vijana wa Kitanzania wanaozamia kwenda nje inazidi kupungua ukilinganisha na miaka yetu kwa kuwa wengi wanaozamia wakirudi wanakuta waliobaki home ama hawana tofauti na wao au waliobaki wako vyema zaid kiuchumi
 
uko sawa chief
 
Back
Top Bottom