Wakimbiza mwenge kitaifa ni mafisadi, wanaomba rushwa mwaka huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakimbiza mwenge kitaifa ni mafisadi, wanaomba rushwa mwaka huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maseto, Aug 18, 2017.

 1. M

  Maseto JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 729
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kila mwaka mwenge wa Uhuru hukimbizwa nchi nzima. Viongozi wa mbio hizo huwa ni 6. Mwaka huu viongozi hao wa kike ni 2 na 4 ni wa kiume.

  Pamoja na mwenge kupiga vita ufisadi wa aina yoyote ile kupitia ujumbe wake, viongozi hao mwaka huu wanaomba rushwa kutoka kwa viongozi mbalimbali wa wilaya.

  Hapa mkoani Mwanza wanaomba kwa kila viongozi wakuu wa wilaya kama vile Wakurugenzi, Wakuu wa Wilaya na maafisa Usalama nk. Wanafanya hivyo bila aibu. Pia taarifa kutoka mikoa ya jirani na Mwanza (Geita, Kagera nk) zinasema waliomba rushwa walipokuwa huko.

  Taarifa zinaeleza kuwa baadhi wamekuwa wakitoa na wachache wanakataa kutoa rushwa.
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2017
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,073
  Trophy Points: 280
  Una ujumbe mzuri sana ika umeandika kwa hasira! Tulia kidogo soma ulichiandika na ufanye masahihisho!

  Upigaji wa awamu ya tano ni hatari sana, juzi hapa mfamasia wa Manispaa ya Ilemela amekula pesa za mafunzo ya washiriki wa program ya eLMIS, ngoja nitupie mzigo wa vielelezo
   
 3. Kadhi Mkuu 1

  Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2017
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 5,826
  Likes Received: 4,180
  Trophy Points: 280
  Tundu Lissu kasema ndege yetu imekamatwa Canada. Tunapigwa kila kona.
   
 4. technically

  technically JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2017
  Joined: Jul 3, 2016
  Messages: 7,087
  Likes Received: 16,697
  Trophy Points: 280
  Wakati ujumbe wa mwenge ni kuzuia Rushwa Halafu wanaomba Rushwa

  Cc : Magufuli
   
 5. Mahandeiboho

  Mahandeiboho Member

  #5
  Aug 18, 2017
  Joined: Dec 27, 2016
  Messages: 85
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  Wananiudhi wanapotoa maagizo na vitisho vya kuwachukulia hatua viongozi na watumishi wa uma na taasisi kwa mambo yasiyo na msingi kabisa. Mamlaka haya wanayapata wapi kwa mfumo wa uongozi tulio nao. Siwaelewi hawa jamaa wa mwaka huu.
   
 6. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2017
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,945
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  Hivi wakimbiza Mwenge huwa wanapewa mamlaka ya kukoromea watu na kutisha ama?

  Kazi ya wanayoifanya mie nashindwaga kuiona...

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 7. M

  Maseto JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 729
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Wangebaki na kukoromea watumishi isingekuwa mbaya sana.Lakini kuomba rushwa huku mwenge ukiwamlika!!
   
 8. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2017
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,126
  Likes Received: 28,062
  Trophy Points: 280
  Weka kila kitu .
   
 9. M

  Maseto JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 729
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Hili jambo linatakiwa lichukuliwe maanani na vyombo vya dola kwa kuchunguza kwa kina.
  Hao jamaa wanajifanya hawagusiki kwa kuwa wanamuwakilisha rais
   
 10. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2017
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,147
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Tunauwasha mwenge × 2......
  Naliamsha dude, dudeeeeeeenh!!!
   
 11. B

  Babati JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,846
  Likes Received: 25,084
  Trophy Points: 280
  Shida wanachuliwa wote ni uvccm
   
 12. B

  Babati JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,846
  Likes Received: 25,084
  Trophy Points: 280
  Ni bora uzimwe moja kwa moja
   
Loading...