kwa ushaidi huo wa kuunga na supagluu kuna ugaidi hapo? au ni ushabiki wa lumumba umekujaaHatuwezi kuwa na katiba ya namna hiyo kulinda hadi magaidi kwa kigezo cha privacy hakuna na haitakaa itokee
kwa ushaidi huo wa kuunga na supagluu kuna ugaidi hapo? au ni ushabiki wa lumumba umekujaaHatuwezi kuwa na katiba ya namna hiyo kulinda hadi magaidi kwa kigezo cha privacy hakuna na haitakaa itokee
Mahaba gani kenge weweUtetezi kama huu ndo unawafanya mdharaulike mnakuwa na mahaba kupita kiasi unajua hata muuaji anahaki zake za privacy
Anzisha mada yakeMahaba gani kenge wewe
..Bashite ,Sabaya,Musiba n.k walikuwa wakatili kama baba yawo Kidevu....Shameless murders
Hiyi post niyakwako?? too illogicalAnzisha mada yake
Aunt unawaza ngono tuMjinga ni wew unaitumia tigo (takataka) kuwasilina na hawara zako kutuma pesa kwa vimada wako
Aunt yangu tuachie haya maswala wanaume wewe hujui kituUtetezi kama huu ndo unawafanya mdharaulike mnakuwa na mahaba kupita kiasi unajua hata muuaji anahaki zake za privacy
Kumbe ndiyo maana njia ya haja kubwa inaitwa Tigo
Nilikuwepo mkuuMkuu ulikuwepo mahakamani?
Mbona walivyomaliza kesi wamebadilika pakubwa kama roma mkatoliki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuku akikoswa koswa kudakwa na mwewe hulia kwa uchungu sana kuomboleza tukio, halafu hujirekebisha hajianiki kizembe tena, kisha huishia kula sana kwa njia ya kuchakura chakura ili kurejesha furaha yake.Nilikuwepo mkuu
Huwa sikosi mambo ya msingi
Wamebadilikaje?
Ingekuwa vizuri hii issue ikatolewa uamuzi na mahakama kwa 'aggrieved persons' kufungua kesi dhidi ya tigo.Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake wanne, kwamba kati ya Utii kwa mamlaka na Usiri wa taarifa za wateja kipaumbele kwao ni nini, bila kupepesa macho akajibu Utii (Compliance) kwao ndiyo kipaumbele (Priority) zaidi.
Sasa majibu ya kwanini kumekuwepo na uzimaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii na kupanda mara dufu kwa gharama za bando za data yameshapatikana. Sababu kubwa ni kwamba huko kwenye hizo social networks zingine kwao Privacy za Wateja ndiyo Priority hivyo mamlaka zitashindwa kupata kile wanakitaka kwa urahisi.
Hii kesi mpaka waje wamalizike mashahidi wote 24 tutakuwa tumeshapata siri nyingi sana ambazo raia wa kawaida tulikuwa tunafichwa.
View attachment 1996391
Ushahidi wote, soma Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
Hii kampuni ingekuwa ulaya nahisi mpaka muda huu ingeporomoka kiuchumi vibaya Sana. Nahisi hii kesi itazidi kutoa Siri nyingi Sana ni Bora mashahidi wangekuwa wachache kuliko kuleta ujinga mahakamani [/QUOTE
hata ulaya magaidi kampuni za simu hutoa siri zao
Aisee... hapa kwa jf hadi nimecheka...kwel kabisaa..saiz ukiandika case sensitive basi mods wanafyeka uzi haraka sanaKuku akikoswa koswa kudakwa na mwewe hulia kwa uchungu sana kuomboleza tukio, halafu hujirekebisha hajianiki kizembe tena, kisha huishia kula sana kwa njia ya kuchakura chakura ili kurejesha furaha yake.
Nilitolea mfano wa Roma mkatoliki, alivyotekwa na kuachiwa, wananzengo wakamuulizia sana 'sanga' alilokumbana nalo huko alikopelekwa, waalah hakusema na wala hatakuja sema, ni mkataba wa kiapo ambacho hawezi kuja kuuvunja.
Haya tuje na staff wa Jf Max, tangia aburuzwe mahakamani, ule uhuru wetu members wa ku"talk openly" umefinywa, members ku'ban'kwa bila onyo ama kubadilishiwa headings ama jukwaa bila kupewa angalizo!
Yote hayo ni woga wa kutii mamlaka bila shurti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wajinga tu watakao ilaumi tigo.Aisee... hapa kwa jf hadi nimecheka...kwel kabisaa..saiz ukiandika case sensitive basi mods wanafyeka uzi haraka sana
Sheria inasemaje?Ni wajinga tu watakao ilaumi tigo.
Issue ni kwamba wanatoa nyaraka au taarifa za mteja kwa mujibu wa sheria.
Fungueni mitandao yenu ya simu hapa bongo muone kama mtatunisha ubavu.
Kuna watu kazi yao ni kupiga makofimbona hamuelewi wakuuu??? kuombwa sio tatzo!! si kuna utaratibu wa kuomba hizo taarifa? shiida hapo ni kuwa utaratibu wa kuomba hizo taarifa za mteja hazifuatwa! mbaya zaidi hyo barua hata boss zake jamaa hawapitisha sasa itaaminikaje??? maana kila kitu kafanya yeye