Wakili wa kujitegemea anahitajika kesi ya madai ya bima - mkuranga

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Oct 26, 2014
115
66
Wakuu salama ?

Tunahitaji wakili wa kujitegemea alioko MKURANGA au maeneo jirani MAPEMA

Ni kwa ajiri ya kutetea kesi ya madai kuhusu BIMA na waliodhurika na ajali ya gari

kwa yeyote yule anayeweza tusaidia kupata wakili mzoefu tunaomba a PM
 
Back
Top Bottom