Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,829
mnafiki uyo, anatafuta cheoHua unahangaika sana na Lissu mkuu,sijui tatizo nini?
mnafiki uyo, anatafuta cheoHua unahangaika sana na Lissu mkuu,sijui tatizo nini?
Hakika, so sad!😅😅eti nawewe una shahada ya sheria!!! so sadness
hana hata uho uwakili Wenyewe,, maana sijawai ona cha maana anachoandika uyo kaka kuonyesha kuwa yeye ni msomi wa sheria ,ukisikia muwasho na harara basi vyote anavyo huyu wakili Petro!!!!
Sasa Lisu na yeye awekewe bodyguards?Mkuu, kama serikali haina wajibu wa kumuhakikishia kila raia usalama inakuwaje kuna watu wana bodyguards....!!
Sema kwa Lissu issue iko completed kwa vile kwa maoni yake mtuhumiwa ni serikali.
Hoja yako itakuwa na nguvu tukimpata dereva wake, ambaye hadi Leo hatujui yupo wapi!Nimejipa muda kutafakari kauli ya Wakili Msomi mwenzangu na Mwanasiasa Tundu Antipas Mughwai Lissu kuhusu 'kuhakikishiwa' usalama wake ili arejee nchini kufuatia kumaliza matibabu yake nchini Ubelgiji. Akihojiwa na Mtangazaji Mwandamizi wa Sauti ya Amerika, Mwamoyo Hamza, Lissu amesema kuwa ameshamaliza matibabu yake na atarejea Tanzania yetu atakapohakikishiwa usalama wake.
Nikiri kuwa Wakili Msomi Tundu Lissu ana hoja kuhusu usalama wake ikizingatiwa shambulio la kupigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma Septemba 7 mwaka 2017. Shambulio lile, kwa vyovyote vile, limeacha majeraha ya kutosha kwenye mwili na roho ya mwanasiasa huyu machachari wa Tanzania kupitia CHADEMA. Tukio lake litachukua muda wa kutosha kusahaulika kwake kwakuwa yeye tu ndiye mwenye picha na taswira ya kuogofya ya tukio husika kwa muda na mahali pale.
Lissu, kama alivyo binaadamu yeyote, yuko sahihi kutanguliza usalama kuliko kazi, tasnia au harakati zake za kisiasa. Hata kula na kulala hunoga pale ambapo usalama unapokuwepo. Hivyobasi, ni vigumu kubishana na hoja yake ya usalama wake na hoja yake ya kutaka kuhakikishiwa usalama huo ili aweze kurejea nchini. Ametoa na mifano ya vitisho juu ya usalama wake atakaporejea nchini. Kimsingi, ana hoja ya maana sana kwakuwa usalama huanza.
Lakini, nani hasa wa kumhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurejea nchini? Inajulikana kuwa jukumu la usalama wa raia na mali zao ni jukumu la Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama. Kila kunapokucha, Serikali hutimiza wajibu huo ingawa wahalifu wa makosa mbalimbali na uhalfu hutokea kwakuwa uhalifu huo hufanyika ima gizani au ghafla. Hakuna nchi ulimwenguni ambapo hakuna matukio ya kihalifu pamoja na uwepo wa Serikali na vyombo vyake.
Serikali, kadiri nijuavyo, haina wajibu wa kumhakikishia mtu mmoja usalama wake kuliko wengine. Usalama wa raia wote na mali zao zote hutazamwa kwa pamoja. Na hakika, Serikali iko makini katika hilo kwakuwa matunda ya kuwepo kwa amani na utulivu tunayafaidi kila kukicha. Naamini,haitakuwa rahisi kwa Serikali 'kumhakikishia' usalama wake Lissu ili arejee nchini. Usalama wa raia wote daima upo na unasimamiwa na Serikali.
Nani anayebaki ambaye ataweza kumhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurejea Tanzania?
Rais ndiye mwenye jukumu la kumhakikishia Lisu usalama wake, lkn tatizo ni kwamba tayari Rais naye ni mtuhumiwa.kwa mujibu wa Lisu.Lakini, nani hasa wa kumhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurejea nchini?
Petro E. Mselewa,
Uzi wako kuhusu "rais anakosea wapi kila jambo anakosolewa". Hapo ndipo usomi wako, na chuo chako ulichosoma tunavitazama kwa mlengo wa tatu (the eagle eye)
Tatizo unaandika kila linalokujia kichwani pasipo kuchuja matokeo yake.
Petro E. Mselewa, post: 33090532, member: 116264"]
Rais Magufuli amefanya kosa gani la kikatiba/kisheria hadi alaumiwe kuhusu misamaha ya wahujumu uchumi na mafisadi?
Nchi nyingi wanaita ''Plea bargain'' sasa hili ni kosa la JPM kuwaambia waombe msamaha na kurudisha pesa walizokwapua imekuwa shida na nongwa. Mlitaka JPM atumia jina la king'eng'e, Watanzania kwa mazingaombwe hamjambo. Grow up and move on!www.jamiiforums.com
Hapo kuna tatizo wapi Mkuu? Nimeuliza swali, nilipaswa kupewa majibu
Nje ya mada, hivi kuna wakili msomi na ambaye sio msomi? Kama ndivyo, unaweza kutupa tofauti zao mkuu?Nimejipa muda kutafakari kauli ya Wakili Msomi mwenzangu na Mwanasiasa Tundu Antipas Mughwai Lissu kuhusu 'kuhakikishiwa' usalama wake ili arejee nchini kufuatia kumaliza matibabu yake nchini Ubelgiji. Akihojiwa na Mtangazaji Mwandamizi wa Sauti ya Amerika, Mwamoyo Hamza, Lissu amesema kuwa ameshamaliza matibabu yake na atarejea Tanzania yetu atakapohakikishiwa usalama wake.
Nikiri kuwa Wakili Msomi Tundu Lissu ana hoja kuhusu usalama wake ikizingatiwa shambulio la kupigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma Septemba 7 mwaka 2017. Shambulio lile, kwa vyovyote vile, limeacha majeraha ya kutosha kwenye mwili na roho ya mwanasiasa huyu machachari wa Tanzania kupitia CHADEMA. Tukio lake litachukua muda wa kutosha kusahaulika kwake kwakuwa yeye tu ndiye mwenye picha na taswira ya kuogofya ya tukio husika kwa muda na mahali pale.
Lissu, kama alivyo binaadamu yeyote, yuko sahihi kutanguliza usalama kuliko kazi, tasnia au harakati zake za kisiasa. Hata kula na kulala hunoga pale ambapo usalama unapokuwepo. Hivyobasi, ni vigumu kubishana na hoja yake ya usalama wake na hoja yake ya kutaka kuhakikishiwa usalama huo ili aweze kurejea nchini. Ametoa na mifano ya vitisho juu ya usalama wake atakaporejea nchini. Kimsingi, ana hoja ya maana sana kwakuwa usalama huanza.
Lakini, nani hasa wa kumhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurejea nchini? Inajulikana kuwa jukumu la usalama wa raia na mali zao ni jukumu la Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama. Kila kunapokucha, Serikali hutimiza wajibu huo ingawa wahalifu wa makosa mbalimbali na uhalfu hutokea kwakuwa uhalifu huo hufanyika ima gizani au ghafla. Hakuna nchi ulimwenguni ambapo hakuna matukio ya kihalifu pamoja na uwepo wa Serikali na vyombo vyake.
Serikali, kadiri nijuavyo, haina wajibu wa kumhakikishia mtu mmoja usalama wake kuliko wengine. Usalama wa raia wote na mali zao zote hutazamwa kwa pamoja. Na hakika, Serikali iko makini katika hilo kwakuwa matunda ya kuwepo kwa amani na utulivu tunayafaidi kila kukicha. Naamini,haitakuwa rahisi kwa Serikali 'kumhakikishia' usalama wake Lissu ili arejee nchini. Usalama wa raia wote daima upo na unasimamiwa na Serikali.
Nani anayebaki ambaye ataweza kumhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurejea Tanzania?
Mkuu, jambo hilo linaratibiwa na Sheria. Na taratibu za kisheria zinafuatwa. Kama ni tatizo, basi ni Sheria husika.Hebu soma vizuri uzi wako ulivyouwasilisha na urudie jambo la "motives of investigations against motives of law" na angalia hao watu wamekaa mahabusu muda gani na kesi zao zipo katika ngazi ipi kisheria na weka hatua sahihi zilizopaswa kuchukuliwa juu yao..
Any way, "All lawyers are liars"