Hao ni mashetani katika maumbile ya wanadamu. Hawana tafakari kama hiyo ya kwako juu watoto na haki za hao wanaowaonea. Hao kwa tafsiri sahihi ndiyo magaidi, maana dhamaira yao ni kuleta terror ili maovu yao yasihojiwe na yeyote.Hivi hawa watu wanaowakamata wenzao tena wazazi wote wawili wenye watoto wadogo Kwa kesi za kupikwa, ingekuwa wao wangejisikiaje?? Watoto wanateseka Kwa kukosa malezi bora kisa binadamu wenzako?? Huku watoto wao wakifurahia maisha. Kwanini watoto hao wasijekuwa kina Hamza baadae??? Nchi hii imejaa watu wabaya Sana. Mungu atawaadhibu Kwa kadri awezavyo.