Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,784
That is not mathematical principal
Ok natoa "S"
Ok natoa "S"
Poapoa kamanda 🤣✌️✌️Naomba tuheshimiane.
CDM mnatakiwa mzinduke sikuu moja mjue kuwa, kibatala hana uwezo kuwasaidia kesi za mahakamani, zote huwa anadondokea pua, hata ile kesi laini ya sugu na masonga mbeya alidondokea pua. ni mwanasiasa tu lakini uwezo wa sheria hana.
Mtu pekee aliyekuwa anawasaidia alikuwa Tundu lisu, huyo ana uwezo mkubwa sana mahakamani, tafuteni wengine, hata kina john malya tu ambao wao hawaongei ongei, vitendo wanavifanya, Kibatala tangu asome kadigrii kake "Mzumbe" ka miaka 3 na kubambiabambia analoliweza ni siasa za mahakamani tu.
Kwa wanaomjua vizuri akiwa mahakamani, ana emotions mno anawaka mno hatoi hoja, ni mlopokaji tu tofauti na wanasheria wenye akili. BADILISHENI MWANASHERIA, MTAKUJA KUNISHUKURU.
Hata Benard Morisson pia ni mwanasheria.Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Nimeamini shuleni siku hizi wanafundisha ujinga...CDM mnatakiwa mzinduke sikuu moja mjue kuwa, kibatala hana uwezo kuwasaidia kesi za mahakamani, zote huwa anadondokea pua, hata ile kesi laini ya sugu na masonga mbeya alidondokea pua. ni mwanasiasa tu lakini uwezo wa sheria hana.
Mtu pekee aliyekuwa anawasaidia alikuwa Tundu lisu, huyo ana uwezo mkubwa sana mahakamani, tafuteni wengine, hata kina john malya tu ambao wao hawaongei ongei, vitendo wanavifanya, Kibatala tangu asome kadigrii kake "Mzumbe" ka miaka 3 na kubambiabambia analoliweza ni siasa za mahakamani tu.
Kwa wanaomjua vizuri akiwa mahakamani, ana emotions mno anawaka mno hatoi hoja, ni mlopokaji tu tofauti na wanasheria wenye akili. BADILISHENI MWANASHERIA, MTAKUJA KUNISHUKURU.
Unaongea kama haukuwepo nchi hii ,kesi kipindi cha Magufuli zilikua zinaamliwa Nyumbani.CDM mnatakiwa mzinduke sikuu moja mjue kuwa, kibatala hana uwezo kuwasaidia kesi za mahakamani, zote huwa anadondokea pua, hata ile kesi laini ya sugu na masonga mbeya alidondokea pua. ni mwanasiasa tu lakini uwezo wa sheria hana...
Kwani palamagamba c mwanasheria na tunamuona anavyoidhalilisha taaluma yake kwa njaa ya ubongo na yeye surround ndo hivyo hivyo anatetea tumbo lake kwa sababu hana jinsi lakini ndani ya moyo wake anajuwa ukweli ulivyo.Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Takataka aliiba vyeti vya secondary SchoolSirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
IGP alifanya utopoloBila shaka wale vijana watatu waliteswa intensively na kukubali kumu implicate Mbowe kama mshirika wao/aliyewatuma/aliyewalipa kufnya hicho wanachoita ugaidi. Definitely waliandika statements zikimhusisha Mbowe kama mhusika mkuu. Huo ndio atakaouleta mahakamani...
Jitu zima limepita seminary, kidogo liwe padri leo linambambikia mtu ksi mbaya na macho makavu kama ya Lucifer. Litakufa kama JiweSiro anakwenda kuzeeka kwa aibu.
Karne ya 21 unaleta upumbavu wa kusingizia mtu kesi bila aibu na macho makavu!!!!!!
Ile movie ya Mo Dewji hakujifunza tu?
Ana dhambi mbaya sanaJitu zima limepita seminary, kidogo liwe padri leo linambambikia mtu ksi mbaya na macho makavu kama ya Lucifer. Litakufa kama Jiwe
Kweli kabisa mkuu!Kinachomtesa Sirro kwa swala la mbowe Ni Kutaka Dhambi aliyoifanya iwe kitu kitakatifu machoni pa wenye akili.
Kuwa wakili ni jambo jingine na kuwa mwanasheria ni jambo jingine,kwahiyo anachokijua yeye kama mwanasheria basi sicho wakijuacho mawakiliSirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!