Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,814
- 18,793
Wakili wa wahanga wa bomoabomoa Kimara Innocent Mwelelwa anasema waliaandikia barua kwa Mwanasheria mkuu wa serikali juu ya kuvunjwa kwa amri ya mahakama ya kuzuia bomoabomoa na kuipokea barua hiyo 23/8/2017, mahakama ilijulishwa pia, katibu mkuu wizara ya uchukuzi, kamishna wa polisi kanda ya Dar, Kamishna wa Polisi wilaya ya Kinondoni wote walipata taarifa juu ya kukiukwa amri ya mahakama na Tanroads wamepokea barua hizo na kupiga muhuri na saini
Taasisi zote za serikali zimepokea barua na kugonga muhuri,meneja wa kanda Tanroads pia amepewa barua mara tatu juu ya ukiukwaji wa amri ya mahakama ila hakuna alichofanya na hivyo wao kusema hawana taarifa sio sawa sawa