MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,826
- 5,451
Umejibu nilichouliza au unajibu ulichokariri?Yaani unaleta story za WAJIBU kwenye ishu ambazo akili yako inakuambia ni HATARI?Njia zote za kujikinga unazijua, kwanini USIZIFUATE?Ni wajibu wa serikali kuhakikisha simba hachanganyiki kwenye makazi ya watu.
Kwa hiyo hakuna sababu ya watu kuhangaika na simba wakati serikali inatimiza wajibu wake. Kama haitimizi wajibu wake ipasavyo, kama ilivyo sasa, hao wasioweza kukimbia wasiliwe na simba wao hawapendi kuishi?
Sasa niseme tu, kwa sababu ya upofu wa kisiasa, inawezekana usielewe nilichoandika. Inasikitisha sana watu wenye akili nzuri kupofushwa na siasa kiasi hiki.