Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
- Thread starter
- #21
Pole sana mkuu.Naiona Italy ikihamia Tanzania, ile Italy ya Corona. Naomba Mungu isiwe hivyo. Leo tu ndugu wawili(sio wa damu) wametangulia.
Pole sana mkuu.Naiona Italy ikihamia Tanzania, ile Italy ya Corona. Naomba Mungu isiwe hivyo. Leo tu ndugu wawili(sio wa damu) wametangulia.
CC:kipara kipyaBy Mchambuzi kupitia Twitter:
TANZIA
Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile
Tafadhali tuchukueni hatua.
Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama https://t.co/wkTgZcsFLq
Tutaelewana tuBy Mchambuzi kupitia Twitter:
TANZIA
👉Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile
Tafadhali tuchukueni hatua.
Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama https://t.co/wkTgZcsFLq
Hakitishi mtu yeyote bali ni ujumbe unaokufanya uchukue tahadhali kwani maisha yako yapo mikononi mwako.Mnatutisha
Ipo siku atastuka lakini atakuwa amechelewaHii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.
Shida ipo hapo!Kuna watu wanalalamika sirikali ichukue hatua wakati ukimuuliza huyo mtu hatua zipi unataka sirikkali ikutangazie ambazo wewe huzijui na umezuiwa kuzifuata na sirikali, hajui.
Halafu? Mbona unaleta uchuro?Ningependa utuletee na wa familia yenu japo mmoja tu!
Kwani Ukimuona Simba anakuja utasubiri amri ya kimbia au simama?Hii tunayoiita changamoto ya upumuaji badala ya kuiiita Corona tusipokubali na kujikinga tutaangamia kwa sababu tumekubali kumwachia mtu mmoja afanye anavyojua yeye tuu.Cjui anasubuli Watz wangapi wafe kwa corona ndo akubari kuchukua measures.
By Mchambuzi kupitia Twitter:
TANZIA
👉Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile
Tafadhali tuchukueni hatua.
Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama https://t.co/wkTgZcsFLq
Mkuu kwanini wewe na family yako msichukue HATUA?Shida ipo hapo!
Lakini Serikali ikideclare officially kwamba kuna gonjwa, responsible medical officials kwanza watakuwa free kufanya kazi zao bila hofu, wataanzisha ile kitu inaitwa emergency operation center na kuanza kutrace cases.
Probably kuna measures zitakwekwa kama kuanza kudemand covid19 negative certificate kwa wageni wote, kulazimisha masks maofisini, kupeleka PPEs hospitalini na kuhakikisha, etc etc
Kwa kifupi kauli ya Serikali ni muhimu sana kuliko janjajanja za sasa na kauli zao za mafumbo.
RIP. Everybody is sharing the same danger. Huu ugonjwa haungalii usomi wala hela wala madarakaBy Mchambuzi kupitia Twitter:
TANZIA
👉Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile
Tafadhali tuchukueni hatua.
Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama https://t.co/wkTgZcsFLq
Mimi nachukua ila haisaidiii sana kama mimi ninachukua harafu wewe na yule hamchukui.Mkuu kwanini wewe na family yako msichukue HATUA?
Sitaki wala sipendi kusikia habari kwamba kuna watu wamekwenda hospitali fulani kukosa kitanda au oxygen wakati Wizara ya Afya inasema hakuna tatizo na hospitali zipo wazi / tupu..., Hapo kuna matatizo sehemu na hata kama zipo wazi je tumejiandaa kama hali ikiwa mbaya kuhakikisha watu wengi iwezekanavyo wanapata huduma wakizidiwa...,Mi nafikiri ungefunguliwa uzi wa measures zinatotakiwa zichukuliwe na kutangazwa na sirikali ili kusudi watanzania wazifuate.
Kuna watu wanalalamika sirikali ichukue hatua wakati ukimuuliza huyo mtu hatua zipi unataka sirikkali ikutangazie ambazo wewe huzijui na umezuiwa kuzifuata na sirikali, hajui.
Au mnataka Lockdown ndio ionekane hatua zimechukuliwa!
Au nasema uongo ndugu zangu.
Haisaidii kivipi wakati unaweza kuwaambia watoto wako hakuna kutoka nje, vaeni barakoa. Kwanini usiisaidie family yako kwa kuchukua hatua kama hizi?Hata wageni wakija kwako unawaambia. Sifikiri kama umeona Simba utasubiri amri ya kujihami wakati unajua nn cha kufanya.Mimi nachukua ila haisaidiii sana kama mimi ninachukua harafu wewe na yule hamchukui.
Serikali ina wajibi mkubwa kwenye hili na hatuwezi kuachiwa kila mtu apambane kivyake huku viongozi wetu wanapishana kauli
Kwa akili za kiccm ni ngumu sana kuelewa nilicho maanisha.Ok, kwahiyo kuna wafuasi wa vyama vingine wanafurahishwa na taarifa hizi⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️🤔🤔🤔🤔🤔😰
Ni wajibu wa serikali kuhakikisha simba hachanganyiki kwenye makazi ya watu.Kwani Ukimuona Simba anakuja utasubiri amri ya kimbia au simama?