Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

Lakini ni kwa bahati mbaya sana "kujua sheria" Tanzania, kwenye enzi tulipotoka (enzi za Magufuli), ilikuwa haisaidii chochote. Labda sasa tutaanza kuona maana na uzuri wa kujua sheria kama hali itaendelea kuwa hivi ; yaani mahakama ionekane kufanya kazi bila ya kuingiliwa na yeyote.
Umeongea point, enzi za kiongozi wa malaika sheria zilikanyagwa na baadhi ya majaji waliufyata hawakuwa na lolote kipindi hicho

Ndio maana kesi inaelekea kuwa ngumu kwa wanasheria vilaza wa serikali.
 
Back
Top Bottom