Wakili msomi nchini Edward Lekaita kurithi mikoba ya ubunge wa Papian jimbo la Kiteto kupitia CCM

buswelu moja

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
228
250
Wakili Msomi kurithi mikoba ya ubunge wa Papian jimbo la Kiteto.

Wakili maarufu nchini, Edward Lekaita ambaye pia ni Mshauri wa masuala ya kisheria kwa asasi zisizo za kiserikali nchini anatajwa kurithi mikoba ya ubunge wa jimbo la Kiteto mkoani Manyara inayoshikiliwa na Ndugu Papian kupitia CCM.

Lekaita ambaye amekuwa akishirikiana na taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali katika masuala ya ushauri wa kisheria anatajwa kurithi mikoba hiyo.

Tayari Wazee mbalimbali wa mila wilayani kiteto wamebariki uamuzi wa Lekaita kugombea ubunge katika Jimbo hilo ambalo limegubikwa na migogoro baina ya wakulima na wafugaji.

Lekaita mbali na kujikita kutetea haki za wafugaji nchini pia ana degree mbili za sheria macho na masikio kwa wapiga kura wa wananchi wa jimbo la Kiteto.
IMG_20200312_203553_883.JPG
Screenshot_20200312-202907.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom