TANZIA Wakili Msomi N.I.N Munuo afariki dunia hospitali ya KCMC

Awamu ya kwanza ya Pneumonia iliondoka na mawakili wengi sana, nafikiri nature yakazi zao inahusika sana, tunaita ajali kazini, RIP Munuo wakili
 
Mimi nataka ianze kuwala mawaziri

Nasubiri kwa hamu sana

Nadhani ikianza na mawaziri,ndio wataelewa kuna watu wanakufa TZ hii....

Ndani ya siku tatu au nne from now,kuna waziri or mbunge or somthing,lazima afeee
Wewe unaitwa Nabii nani Mkuu??
 
Munuo - kumbe majina haya yapo pia Tanzania. Nilifikiri ni majina ya Wakenya.
Anyway, RIP Wakili Msomi Munuo!
 
1611813305905.png

MASHARTI YA MAZISHI YA BW. NICHOLAUS IMBIANDUMI NDAASHUKA MUNUO @ _Lord MUNUO!!!
Aliyefariki tarehe 25 hosipitali ya KCMC
LORD MUNUO, Wakili maarufu wa Arusha, ametamgulia mbele za haki.
MASHARTI YAKE:
1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui
2. Mwili wake utafungwa na masago ya migomba
3. Anazikwa mwenye zizi la ng'ombe ambalo lipo maji ya chai ambako alikuwa anafuga mifugo yake
4. Kaburi lake litawekwa Kinyesi cha ngombe tu bila udongo
5. Hakuna kuomboleza
6. Walioalikwa tu ndio watakaohudhuria mazishi kwa maana ya wanafamilia tu
7. Anazikwa kimila na familia yake na hakuna kanisa au msikiti uloalikwa
8. Jina lake ni Nicholas Imbiandumi Ndaashuka Munuo ila alienda kuapa mahakamani akajibadolisha jina akaitwa Lord Ng'uni Imbiandumi Ndaashuka Munuo. Ng'uni ni kijiji alichozaliwa
9. Ng'uni ndiko makao makuu ya Bantu Union ambako yeye ndiuo founder wake alikuwa na president wake
Mengine naendelea kuyafuatilia kuna masharti inasemekana 100 yameandikwa kisheria.
Credit
Even Nassary
 
MASHARTI YA MAZISHI YA BW. NICHOLAUS IMBIANDUMI NDAASHUKA MUNUO @ Lord MUNUO!!!

LORD MUNUO, Wakili maarufu wa Arusha, ametamgulia mbele za haki.

MASHARTI YAKE:

1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui
2. Mwili wake utafungwa na masago ya migomba
3. Anazikwa mwenye zizi la ng'ombe ambalo lipo maji ya chai ambako alikuwa anafuga mifugo yake
4. Kaburi lake litawekwa Kinyesi cha ngombe tu bila udongo
5. Hakuna kuomboleza
6. Walioalikwa tu ndio watakaohudhuria mazishi kwa maana ya wanafamilia tu
7. Anazikwa kimila na familia yake na hakuna kanisa au msikiti uloalikwa
8. Jina lake ni Nicholas Imbiandumi Ndaashuka Munuo ila alienda kuapa mahakamani akajibadolisha jina akaitwa Lord Ng'uni Imbiandumi Ndaashuka Munuo. Ng'uni ni kijiji alichozaliwa
9. Ng'uni ndiko makao makuu ya Bantu Union ambako yeye ndiuo founder wake alikuwa na president wake

Mengine naendelea kuyafuatilia kuna masharti inasemekana 100 yameandikwa kisheria

Copy and paste
 
View attachment 1687942

MASHARTI YA MAZISHI YA BW. NICHOLAUS IMBIANDUMI NDAASHUKA MUNUO @ _Lord MUNUO!!!
Aliyefariki tarehe 25 hosipitali ya KCMC
LORD MUNUO, Wakili maarufu wa Arusha, ametamgulia mbele za haki.
MASHARTI YAKE:
1. Atazikwa na ngozi bila jeneza na amesema atazikwa na ngozi ya Chui
2. Mwili wake utafungwa na masago ya migomba
3. Anazikwa mwenye zizi la ng'ombe ambalo lipo maji ya chai ambako alikuwa anafuga mifugo yake
4. Kaburi lake litawekwa Kinyesi cha ngombe tu bila udongo
5. Hakuna kuomboleza
6. Walioalikwa tu ndio watakaohudhuria mazishi kwa maana ya wanafamilia tu
7. Anazikwa kimila na familia yake na hakuna kanisa au msikiti uloalikwa
8. Jina lake ni Nicholas Imbiandumi Ndaashuka Munuo ila alienda kuapa mahakamani akajibadolisha jina akaitwa Lord Ng'uni Imbiandumi Ndaashuka Munuo. Ng'uni ni kijiji alichozaliwa
9. Ng'uni ndiko makao makuu ya Bantu Union ambako yeye ndiuo founder wake alikuwa na president wake
Mengine naendelea kuyafuatilia kuna masharti inasemekana 100 yameandikwa kisheria.
Credit
Even Nassary
Duuuuih hatareeeeh sanaaah.
 
Back
Top Bottom