Wakili msomi Joseph Kinango amesema Waziri Mwakyembe avuliwe ujumbe wa TLS

Acha kukurupuka kama hujui bora kunyamaza kimya leta hizo sheria unaosema wewe
Kuna Vitu Mnachanganya, Uwakili hauna uhusiano na kuwa mwanachama wa TLS: Leseni ya Uwakili anatoa Jaji Mkuu (Thats the Law). So hata mtu asipokuwa mwanachama wa TLS, bado Uwakili wake uko palepale (SOMENI SHERIA MZIELEWE NA MSIZITAFSIRI KWA MIHEMKO YA KISIASA etc). Hayo Mengine uliyoandika hapo ni UONGO tu. Hivi chama cha madaktari kikifutwa, Tanzania inakuwa haina madaktari??? Muwe nafikiria kwanza kabla ya kuandika jambo. TLS ni chama cha mawakili, TLS sio kigezo cha mtu kuupata Uwakili (Jamani someni sheria na muache upotoshaji).
 
Sheria zipi hizo?

Mimi ni Wakili wa Kujitegemea, Ninajua Nachoongea. NAKUJIBU TENA HIVI; Kuna Vitu Mnachanganya, Uwakili hauna uhusiano na kuwa mwanachama wa TLS: Leseni ya Uwakili anatoa Jaji Mkuu (Thats the Law). So hata mtu asipokuwa mwanachama wa TLS, bado Uwakili wake uko palepale (SOMENI SHERIA MZIELEWE NA MSIZITAFSIRI KWA MIHEMKO YA KISIASA etc). Hayo Mengine uliyoandika hapo ni UONGO tu. Hivi chama cha madaktari kikifutwa, Tanzania inakuwa haina madaktari??? Muwe nafikiria kwanza kabla ya kuandika jambo. TLS ni chama cha mawakili, TLS sio kigezo cha mtu kuupata Uwakili (Jamani someni sheria na muache upotoshaji).
 
Sheria zipi hizo?
Soma Advocates Act uone sifa za Mwanasheria Kuwa Wakili. Wakili ni lazima awe Mwanasheria ila sio kila Mwanasheria ni WAKILI. Na Pia, LESENI YA UWAKILI ANATOA JAJI MKUU na sio TLS. Uanachama wa TLS sio kigezo au sifa ya mtu kupewa leseni ya Kuwa Wakili na Jaji Mkuu. Sitakujibu tena kama bado huelewi.
 
Kama ni Wakili siwezi kushangaa kabisa hata Mwakyembe yupo kama wewe akili zenu huwa mnaziacha wapi?
Mimi ni Wakili wa Kujitegemea, Ninajua Nachoongea. NAKUJIBU TENA HIVI; Kuna Vitu Mnachanganya, Uwakili hauna uhusiano na kuwa mwanachama wa TLS: Leseni ya Uwakili anatoa Jaji Mkuu (Thats the Law). So hata mtu asipokuwa mwanachama wa TLS, bado Uwakili wake uko palepale (SOMENI SHERIA MZIELEWE NA MSIZITAFSIRI KWA MIHEMKO YA KISIASA etc). Hayo Mengine uliyoandika hapo ni UONGO tu. Hivi chama cha madaktari kikifutwa, Tanzania inakuwa haina madaktari??? Muwe nafikiria kwanza kabla ya kuandika jambo. TLS ni chama cha mawakili, TLS sio kigezo cha mtu kuupata Uwakili (Jamani someni sheria na muache upotoshaji).
 
Upo sahihi kwa nini mnawaita wakili msomi? kwani mtu anaweza kuwa wakili na asipitie shule? mbona hamsemi daktari msomi? wahasibu wasomi? wahandisi wasomi? rekebisheni naona mnakosea kuweka hicho kivumishi cha sifa katika fani ya Elimu...

Mkuu hii "learned brother" ipo dunia nzima haifutiki!
 
Upo sahihi kwa nini mnawaita wakili msomi? kwani mtu anaweza kuwa wakili na asipitie shule? mbona hamsemi daktari msomi? wahasibu wasomi? wahandisi wasomi? rekebisheni naona mnakosea kuweka hicho kivumishi cha sifa katika fani ya Elimu...
Hiyo inatofautisha vizuri zaidi.
Mfano: Mwakyembe ni wakili Kilaza
 
So jambo la kwanza kwa mawakili wakifika Arusha tar 17 March, kabla ya kupiga kura ya kumchagua Lissu kuwa Rais wao, wanapaswa wapige kura ya kumfuta uanachama wa TLS Mwakyembe.

Unaunga mkono uamuzi huu?
Wewe endelea kufikiria kimasabuli tu na endelea kuota ndoto kuwa Mwakyembe atafutwa TLS kama unavyoaminishwa na bwana zako
 
So jambo la kwanza kwa mawakili wakifika Arusha tar 17 March, kabla ya kupiga kura ya kumchagua Lissu kuwa Rais wao, wanapaswa wapige kura ya kumfuta uanachama wa TLS Mwakyembe.

Unaunga mkono uamuzi huu?
Endelea kuota mbulula wewe
 
samahan naomba kuuliza hivi mtu anaweza kuitwa au kuwa wakili msomi hata kama sio mwanachama wa UKAWA??
mf. tulia..mwakyembe..chenge..
 
Mimi si Mwanasheria lakini niulize swali tu naona mawakili wakila kiapo cha uwakili kwa Jaji Mkuu na hupewa nasaha kuhusu utumishi wa uwakili.

Sasa leseni ya kufanya kazi ya uwakili hutolewa na nani? Jaji Mkuu au TLS?

Na kwa Madaktari wana chama chao kitaaluma na hutoa na kumsimamisha kazi Daktari hata kama amesomea lakini chama chao kinaweza kumnyang'anya leseni ya Ku practice taaluma yake ya udaktari.

Sasa sijui kwa wanasheria na mawakili ambapo hapo taaluma ni uwanasheria!
 
Back
Top Bottom