Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

nini kimetokea huko Dar jamani, naomba mnieleweshe mie wa mkoani tafadhali/
sijui nihamie dar
 
Mbona hajamshauri ajiuzulu nafasi zake za kisiasa na kuomba radhi kama yeye alivyofanya!
 
Mzee wa kujibu mashambulizi haonekani sikuhizi kwenye hizi sridi, si kawaida yake
 
Wakili Msomi anashindwa kufanya pro bono, anakimbilia kumshauri le kibamia mzee aliyeshindikana na Wazazi na Tanzania kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom