Wakili Kibatala: Natumaini Lissu Siku moja mbeleni utakuja gombea Urais wa Tanzania

HAJASEMA ANAOGOPA. AMESEMA HATAKI NA WALA HAJISIKII KUWATAJA. ALAFU PIA WAMESHAFUNGULIWA MASHTAKA UTAWAJUA TU KAMA UNA INTEREST HIYP. READ BETWEEN THE LINES IF YOU ARE NOT CAPABLE TO READ WITHIN THE LINES

Mteteeni mnavyoweza ila ' Jamaa ' ni Muoga sana.
 
Bora askari walivyomzuia Fatma karume kuongea na waandishi wa habari. Yule dada ni mropokaji sana. Alishawahi kumtukana matusi hakimu flani hadharani. Bahati nzuri walilifanyia kazi, Alipigwa ban ya uwakili, akarudi kanyooka kidogo. naona sasa kaanza tena

MKUU una chuki sana,,bilashaka we ni mchawi, ,,maana ulivyomponda Kibatara na Fatuma karume,, HATA hoja ya msingi hauna
 
Taifa kuwa na watu wa aina yako ni hasara, watu wasiokubali au kuheshimu maoni ya wengine unatofauti na jpm?


Uko sahihi ni hasara taifa kuwa watu km Juma Ponda maharage, ila elewa kuwa yeye ni reflection ya society at large, maanake ni kuwa nchi imejaa watu wasioweza kujua difference kati ya nafasi ya ubunge na uraisi,

Yaani km wewe vile unategemea mabadiliko yaje kwa Lissu kuendelea kuwa mbunge na siyo kuwa raisi wa Tz na bado huelewi kuwa bunge la Tz liko linamilikiwa na uchwara, kifupi ni kwamba mimi nafanya 'constructive criticism' na nyie mnafanya 'negative criticism' this is the big difference

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Facts ni kwamba hamna provisional ambayo ni specific kwa maendeleo.wewe ulikuwa upande wa wanasheria kuwa ndo wanaonekana wataleta maendeleo mm nikapinga kwa kuweka wanajeshi kama mfano gadafi maana alikuta nchi pabaya akafikisha pazuri, Hitler alikuta ujerumani katika hali mbaya akaliendeleza huyo huyo Hitler ndo kafanya bala ra afrika kupata uhuru kwa kiwango kikubwa, angalia hata kagame alikuta Rwanda katika hali gani na sasa kafikisha wapi . MTU yeyote mwenye malengo mazuri kuhusu kufanya jambo atafanikiwa kufanya hicho.

Ukiongelea Kagame mind you unaongelea capital city ya Rwanda hujui ya vijijini kukoje.Na kwa sababu amepiga marufuku kuandika hali halisi ya Rwanda huwezi kufanya comparison,yawezekana leo ni bora Kijiji kilichopo Tanzania kuliko Rwanda.

Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake.
 
Hayo ameyaandika kwenye ukurasa wake wa facebook

Anaandika Wakili Msomi Kibatala

1. Fatma Aman Abeid Karume is a new Heroine of the struggle for Rule of Law. Kindly welcome her.

2. Kuhusu watu fulani (sitaki hata kutaja kazi yao, sijui zao) kumzuia Wakili Karume kuzungumza Mahakamani baada ya Tundu Lissu kupata dhamana; kilichotupeleka Mahakamani ilikuwa kumpigania Rais wetu Tundu Lissu, na mengine yatashughulikiwa mbele ya safari. Mara nyingine case ya Lissu itakapokuja tutalizungumza hilo, pamoja na lile la hao nisiotaka kuwataja kuwazuia wanaopenda kusikiliza case kuingia Mahakamani wakati sina uhakika kama wametumwa na Mahakama kufanya shughuli hiyo.

3. Nafahamu kwa uhakika kwamba Fatma Karume ameshafungua case ya madai dhidi ya wale (wapo wawili) waliokuwa mstari wa mbele kumzuia asitimize wajibu wake wa kutoa taarifa kwa wale waliopenda kufahamu nini kimeendelea Mahakamani leo. Ili kuleta somo; amewafungulia case kwa majina yao binafsi na si kwa majina ya taasisi yao (hata sitaki kuitaja).

Nawaombea wamshinde kwa kuwa nina uhakika hawana uwezo binafsi wa kumlipa Fatma Karume fidia iwapo watashindwa case hiyo.

Mwisho kabisa; 'haiwezekani mtu atetewe na Mawakili 18 halafu useme kuna tishio la usalama dhidi yake'.

Viva Antipas Tundu Lissu Mughwai. I hope one day U will run for President of Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Viva Tundu Lissu, viva Tanzania!
 
Mimi nilidhani Mawakili kwa kuwa wanajua sana Sheria basi na wao huwa siyo Waoga kama akina sisi Bush Lawyers. Kwani Kibatala angewataja tu hao akina ' Watu fulani ' na ' Taasisi ' zao angepungukiwa nini? Kama ameweza kumpigania Lissu na hata Watu wengine huko nyuma na wakatosha na kushinda Kesi zao tena nzito na ngumu kwanini leo anaogopa kutaja hao Watu na Taasisi zao wakati kama akikamatwa anao uwezo wa kujitetea na akashinda Kesi?

au tuamini sasa ile Kauli ya ' Wahenga ' isemayo ' Mganga hajigangi? '

Kibatala bhana!
Skia ww kisheria kwa mtu unaeifaham sheria , case ya madai kabla haijafunguliwa unapowazungumzia parties hadharani unapoteza ushahifi wa case......he is alaqyer kwaio he knows anachokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
,

Lissu ni mtu wa kupikwa? labda kama apikwe kwenye sheria. Hivi kwa mtazamo wako lissu ana kipi cha kujivunia kwenye siasa? tena ungejua mwanasheria kuwa mwanasiasa mzuri kibongobongo ni ngumu sana. Angalia mfano Marehemu Dr Sengondo Mvungi.

Huyu alikuwa mwanasheria mzuri sana, siasa zilimzingua tu. Angalia akina Dr. lamwai -aliingia kwenye siasa kapotea kabisa kaamua aachane na siasa karudia uanasheria wake. Yupo Mabere Marando, nae alivurunda tu kwenye siasa. Kuna Prof. Safari, yeye huyu anapuyanga puyanga tu na siasa. Hata Julius Mtatiro nae ana taaluma ya Sheria, lakini wapi...

Angalia na marehemu Christopher Mtikila... Japo alikuwa bushlawyer lakini alisumbua sana katika tasnia ya sheria, lakini siasa zilimshinda. Angalia yule bwana mindevu alivyojaribu kugombea uraisi akaishia kushika mkia. Kuna huyu mama anaitwa Dr. Asha Migiro, huyu katutia aibu hadi kwenye siasa za kimataifa ukiachia hii bongo tu.

wapo na wengine wengi. sanasana wanasheria kwa sasa wajikite tu kwenye ubunge kama magwiji Nimrod Mkono na Andrew Chenge. hawa wawili wanajitambua hawataki makubwa.
Lisu amejenga influence kubwa kitaifa kuliko hao uliowataja!!! Nachojua lisu ni mjengaji hoja sana na anaufaham wa mambo mengi which is essential kwa taifa letu lilipofika tunahitaji great thinkers na problem solvers...... and lisu is one of them shida yangu na lisu ni character na personality tu yaani anajazba sana na huwa anatawaliwa na emotions muda mwingi akiudhika ila wakimshape akawa mtulivu kma mbowe au lowassa lisu anafaa sana urais hasa 2025 akiwa matured enough hayo mengine ni porojo tu mkuu na wwe unajua hilo

Hao kina chenge na mkono ni mafisadi tu ndio maana wametulia ila haimaanishi hawataki makuu wakati kila cku wanatuibia mabilion kwenye maskendo ya ufisadi.

kwa ufupi lisu ameiva sana ingekuwa nchi za wenzetu angeshakuwa waziri wa sheria na katiba muda mrefu sana
 
Lisu amejenga influence kubwa kitaifa kuliko hao uliowataja!!! Nachojua lisu ni mjengaji hoja sana na anaufaham wa mambo mengi which is essential kwa taifa letu lilipofika tunahitaji great thinkers na problem solvers...... and lisu is one of them shida yangu na lisu ni character na personality tu yaani anajazba sana na huwa anatawaliwa na emotions muda mwingi akiudhika ila wakimshape akawa mtulivu kma mbowe au lowassa lisu anafaa sana urais hasa 2025 akiwa matured enough hayo mengine ni porojo tu mkuu na wwe unajua hilo
Hao kina chenge na mkono ni mafisadi tu ndio maana wametulia ila haimaanishi hawataki makuu wakati kila cku wanatuibia mabilion kwenye maskendo ya ufisadi.
kwa ufupi lisu ameiva sana ingekuwa nchi za wenzetu angeshakuwa waziri wa sheria na katiba muda mrefu sana
.

Hahahaaa. Acha utani aisee. Lissu kajenga Influence? influence kaijengea wapi kama sio kwenye mitandao ya kijamii tu? Bibi na wajomba zako kule Tandahimba au manyoni singida hawajawahi kabisa kusikia hili jina, bora uwaambie Dr slaaa wanamfahamu.
Influence ya lissu anayoipata mitandaoni tu ni kwa sababu ya uropokaji na kukaidi mamlaka. kiuhalisia hakuna chachote cha kujenga anachozunguza, si kwa faida ya jimbo lake, chama chake wata taifa. Hivi nikikuuliza lissu kafanya nini la maana utanijibu?
katika chadema bora wabuge Nassari, Sugu na Msigwa wanajali majimbo yao na harakatai zao matunda yake yanaonekana.
 
Back
Top Bottom