Wakili Kibatala: Natumaini Lissu Siku moja mbeleni utakuja gombea Urais wa Tanzania

Mungu atusaidie tupate hekima na maarifa ktk kuamua mambo. Rais kuwa TL? Naomba Mungu atusimamie na awape watz uelewa juu ya hii mipango yenu. Hivyo kwa sasa Lowassa nafasi ya kugombea ni finyu sana kama TL kashaanza kutengeneza njia.



Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema wanamuandaa TL kugombea urais ndio maana wako very theatrical of late to every opportunity they get.
Lowassa kusema atagombea urais 2020 ni garasa!
 
.
Mku, Wakili Peter kibatala ni miongoni mwa mawakili wachanga tanzania. mara tu baada ya kuupata uwakili akaanza kutafuta "Kiki". ilifikia hatua akawa anatetea watu bure. Anaangalia kesi zinazofuatiliwa na umma. anajaribu kufuata nyayo za wakili mwingie anaitwa Magafu. Huyu magafu alianza hivihivi, sasa hivi sijui kakua... anafanya mambo yake kimyakimya.
Kwa maana nyingine kibatala hawezi siasa. Mwaka 2015 alikurupuka akataka agombee ubunge, alipotezwa vibaya sana. Pili ni muoga sana tu. anapataga nguvu akiona waandishi wa habari.
Kwani kuna tatizo Mkuu? kila mtu ana njia yake ya kutokea.. wengine hata hizo guts za kutafuta kiki tu hamna
 
Mimi binafsi naunga mkono harakati zake za kupigania haki za wanyonge, amefanyika sauti ya Watanzania wengi tangu misukosuko ya Migodini miaka ile. Lakini siungi mkono kuwa mgombea uraisi aliwahi kusema mwenyewe kwenye kipindi cha Mikasi hapendi urais bali ubunge. Akiwa raisi nani aikosoe serikali?
Ni muhimu sana kuwakosoa watendaji wa serikali ili wawe makini katika kutimiza majukumu yao. Abaki kuwa mbunge tu.
Ni kweli kabisa si kila mwanaharakat
anafaa kuwa rais..abaki kuwa mbunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye siasa wanasheria ni Waziri zaidi kuliko waalimuna wachumi.

Angalia nchi zote zilizoongozwa na wanasheria zilipo na zilipokuwa.

Zimbabwe kabla Mke wa Mugabe hajafariki Zimbabwe kiuchumi na kisheria ilikaa vizuri sana sababu Mke wake alikuwa ndiyo mshauri wake mkubwa kwenye kujenga nchi yake kisheria na kiuchumi kwa.kufuata sheria za nchi,leo iangalie Zimbabwe ilipo kama danguro la wachina.

Ione SA wakati wa Nelson Mandera na Leo hii ndilo utajua mwanasheria akiwa ndiyo Kiongozi Mkuu mnauhakika wa kufika muendako.

Ona USA ya jana na leo,baada ya muda mfupi US itaparanganyika kiuchumi ni muda tu na wakiona hali ni mbaya sijui kama Dictator wa US ata survive
Wanasheria ni wapigadomo sana. Gadafi hakuwa mwanasheria ila alifikisha nchi sehemu nzuri. Kuliko mwanasheria afadhali mwanajeshi anayejielewa na mwenye focus nzuri ya maendeleo ya nchi.
 
Bora askari walivyomzuia Fatma karume kuongea na waandishi wa habari. Yule dada ni mropokaji sana. Alishawahi kumtukana matusi hakimu flani hadharani. Bahati nzuri walilifanyia kazi, Alipigwa ban ya uwakili, akarudi kanyooka kidogo. naona sasa kaanza tena
....Askari wamefunguliwa kesi wao personally, ukumbuke kwenda kuwasaidia mambo yakiwa magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtapiga sana kampeni lakini mwisho wake aibu. Kuna alieamini Dr Slaa angepotea kwenye ulingo wa siasa? ni mpinzai gani alishawahi kutikisa siasa za tz kama Mrema na Lowassa? mwisho wao ulikuwaje? Siasa za tanzania haziendeshwi kwa umaarufu, hasa katika nafasi ya uraisi.
...Mbona unahangaika sana? Katiba yetu inasemaje kuhusu mtanzania anayetaka kugombea nafasi ya Urais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshasema amewafungulia kesi, huoni kwamba anaweza haribu au ingilia upelelezi au maamuzi ya mahakama? It's still to early to name them now but in the long run they will be known.

Huu ni ' Utetezi ' dhaifu sana ambao sijawahi kupata kuhushuhudia kutoka kwa Great Thinker wa JamiiForums.
 
.
Mku, Wakili Peter kibatala ni miongoni mwa mawakili wachanga tanzania. mara tu baada ya kuupata uwakili akaanza kutafuta "Kiki". ilifikia hatua akawa anatetea watu bure. Anaangalia kesi zinazofuatiliwa na umma. anajaribu kufuata nyayo za wakili mwingie anaitwa Magafu. Huyu magafu alianza hivihivi, sasa hivi sijui kakua... anafanya mambo yake kimyakimya.
Kwa maana nyingine kibatala hawezi siasa. Mwaka 2015 alikurupuka akataka agombee ubunge, alipotezwa vibaya sana. Pili ni muoga sana tu. anapataga nguvu akiona waandishi wa habari.

Nashukuru sana kujua kuwa Wewe ni mmoja wa Watu mnaonielewa sana humu ' Jamvini ' na yawezekana hata uwezo wetu mkubwa wa ' IQ ' zilizotukuka unafanana. Nimependa sana ' uchambuzi ' wako juu ya huyo ' Wakili ' mjanja mjanja lakini ni ' Muoga ' kupindukia.
 
Wanasheria ni wapigadomo sana. Gadafi hakuwa mwanasheria ila alifikisha nchi sehemu nzuri. Kuliko mwanasheria afadhali mwanajeshi anayejielewa na mwenye focus nzuri ya maendeleo ya nchi.

Ungetoa facts ningekuelewa lakini mpaka sasa walimu,wachumi na waandishi wahabari wametufikisha kwenye point -0 kama ipo
 
Kaa kimya. Hijui chochote kuhusu taaluma

Sent using Jamii Forums mobile app

Nisaidie tu kufikisha ' ujumbe ' wangu Kwake kuwa aache kuwa ' Mwoga '. Nilikuwa namkubali sana ila baada ya kuona hicho alichokiandika ' nimeshtuka ' kidogo kwani Mimi nilitegemea kwasababu Yeye anajiamini na ameshatuaminisha Watu hasa sisi ' Bush Lawyers ' kuwa Yeye ni ' Nguli ' hasa wa Sheria basi jana angewataja tu hao Watu na hizi Taasisi ili pale ' akikamatwa ' tu basi aweze tena kutuonyesha uwezo wake wa kujua Sheria vizuri ili awashinde akina ' Mamlaka ' ili tuzidi kumkubali.
 
Unajua nini maana ya Raia?
Kama unajua basi haikupasi kuuliza swali la kishenzi kiasi hiki wakati unajua ni Mbuge wa Singida Mashariki kwenye jimbo lake ndiko uraia wake unakothibitika ama kuthibitishwa.
Hivi kuuliza swali ni ushenzi? Mkuu wewe ni dini gani kwani au sheitwani umemtanguliza akuamulie cha kufanya!. Pole sana omba Mungu akusaidie maana hautambui kama umepotea.
 
Umeambiwa case imeshatinga mahakamani hivyo hawezi kuwazungumzia

Mbona kuna zingine zipo huko huko ' Mahakamani ' lakini huyo huyo / hao hao huwa wanazizungumzia? au leo huzijui Mkuu? Sasa naanza kuamini kuwa Watanzania kwa ' Unafiki ' hatujambo.
 
Mbona kuna zingine zipo huko huko ' Mahakamani ' lakini huyo huyo / hao hao huwa wanazizungumzia? au leo huzijui Mkuu? Sasa naanza kuamini kuwa Watanzania kwa ' Unafiki ' hatujambo.

SIjasikia wakizizungumzia,kikubwa jibu unalo
 
Mimi nilidhani Mawakili kwa kuwa wanajua sana Sheria basi na wao huwa siyo Waoga kama akina sisi Bush Lawyers. Kwani Kibatala angewataja tu hao akina ' Watu fulani ' na ' Taasisi ' zao angepungukiwa nini? Kama ameweza kumpigania Lissu na hata Watu wengine huko nyuma na wakatosha na kushinda Kesi zao tena nzito na ngumu kwanini leo anaogopa kutaja hao Watu na Taasisi zao wakati kama akikamatwa anao uwezo wa kujitetea na akashinda Kesi?

au tuamini sasa ile Kauli ya ' Wahenga ' isemayo ' Mganga hajigangi? '

Kibatala bhana!
Ndo tofauti iliyopo kati yako na hao Wanasheria! Kutowataja kwa majina na wewe kutaka watajwe ndipo ilipo tofauti. Ukisoma utaelewa!
Bahati nzuri umetamka kuwa u bush lawyer wa sheria, so sikulaumu!
 
Mkuuu ataharibu kesi,,haitakaa vema,,,ukiwa vitani husemi unapiga wapi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sipendi na huwa sifagilii Watu ' Waoga '. Kibatala jana ameniangusha mno Mkuu kwani laiti angewataja tu wale Watu na zile Taasisi nadhani Kwangu angekuwa ni ' Hero ' rasmi. Mimi ningekuwa ni ' Legal Guru ' kama Kibatala ' hakyanani ' Watawala / Mamlaka ingenitambua kwani ningewapelekesha mno na kuwahenyesha.
 
Back
Top Bottom