Wakili Kibatala: Natumaini Lissu Siku moja mbeleni utakuja gombea Urais wa Tanzania

Hivi hii ni nini!Mandela alipata uraisi wa huruma!!basi haya,ngoja tusubiri huruma ya wapiga kura.
Ndaylagije tofautisha uchaguzi huru wa S Africa na ghasia hii ya wakurugenzi wa halmashauri za miji na wilaya wanaorimitiwa matokeo yawe je!!!

Otherwise Tundu Lissu anafaa tu hakuna anachokikosa sema hapa hakuna chaguzi huru na za haki
 
Wala sioni tatizo katika kutosha au kutotosha kwake mkuu,ila ninaona tatizo kuwa ategemee kura za huruma,coz haitamsaidia kuongoza.
 
mpinzani yeyote anaingia kwenye chamma cha upinzani kisiasa in a soft way hawezi kuwa mpinzani..natolea mfano mpinzani WA Uganda Mr besigye...hivi kwa tabu alizozipata atanunulika kirahisi?kwa sasa mpinzani Tanzania Ni mbowe na lisu wengine wote wananunulika na sitashangaa wakinunuliwa
Unamjua Besigye au unaandika tu
 
Lissu ni nabii; risasi 16 mwilini then upone ni jambo la ajabu; huyu ni Rais wangu 2020
 
Back
Top Bottom