Wakili Kibatala: Natumaini Lissu Siku moja mbeleni utakuja gombea Urais wa Tanzania

Ukiachana na nunuanunua 2020 wagombea wa ccm watatangazwa kwa nguvu hata kama wameshindwa kihalali

Hapo utarajie vurugu na wengi kuumizwa na kuwa vilema wa kudumu......

Wengine watafungwa cku chache kabla uchaguzi......

Kumbuka Mzee kashasema nikuteue mm nikulipe mm halfu uje umtangaze mgombea wa upinzani unahisi nani anataka kibarua chake kuota sangari????

Huyu kiongizi tulienae siyo kiongozi bali ni kiongozi mshamba.........
Hiyo nukuu ya mzee naweza ipata wapi mkuu?
 
Kumbuka Mzee kashasema, "nikuteue mm nikulipe mm halfu uje umtangaze mgombea wa upinzani".

Mkuu nina hamu ya kusikiliza hiyo hotuba, unaweza ukatuwekea nasi tukaisikiliza kma hutojali, sidhani oama kuna mtu alushawahi kuileta au kuisikia humu jukwaani.
Unaweza kuthibitisha hili?
 
Ukiachana na nunuanunua 2020 wagombea wa ccm watatangazwa kwa nguvu hata kama wameshindwa kihalali

Hapo utarajie vurugu na wengi kuumizwa na kuwa vilema wa kudumu......

Wengine watafungwa cku chache kabla uchaguzi......

Kumbuka Mzee kashasema nikuteue mm nikulipe mm halfu uje umtangaze mgombea wa upinzani unahisi nani anataka kibarua chake kuota sangari????

Huyu kiongizi tulienae siyo kiongozi bali ni kiongozi mshamba.........
Naunga mkono hoja ya kuwa apambane na Magufuli 2020. Ila kama ulivyotoa angalizo kulingana na maagizo yaliyopo Ukawa waanze kujiimarisha zaidi huku chini na ngazi ya wilaya. Lissu anapendwa kwà Kweli.
 
mbowe na EL watakubali?

tume ya uchaguzi ishakuwa huru?

af mnajiita wasomi??
Kwani kosa akitoa maoni yake???

Kwani mbowe na EL ndio wapiga kura nchi nzima??

Kwahyo kma tume huru bado ndio wasipange mtu mapema?? Je tume ikipatikana 2019 watafanyeje ilihali hawajaandaa mgombea mapema??

We want our 2011 version of Waberoya back!!!
 
Hili wazo ndilo limemfikisha pale Tundu bila hivyo angekuwa tu mtaani now pia wenzake waliona toka mwanzo.
 
Nashauri hoja kama hizi ziletwe akiishakuwa fit na kurejea nyumbani, japo wengi wanaamini shumbulio la Lissu limetokana na yeye kuwa outspoken, lakini ma deep thinkers hatuwezi ku rule out friendly fires possibility kufuatia jina la Lissu kutajwa tajwa.

Angalia shambulio lilitokea siku ngapi baada ya uzi huu kupanda humu jf

Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Hivyo maoni kama haya ni vema yakasubiri apone na kurejea nyumbani salama ili kwa sasa, sote katika umoja wetu tuendelee kumuombea a get well soon za dhati, na sio huku wengine tukimuombea apone, kumbe kuna wenzetu wanamuombea mengine kwa kumuhofia kwa 2020.

Paskali
anahofiwa kwenye CDM yao tu nje ya hapo anathibitiwa na ifahamike kua lisu hawezifanya miujiza mambo yabadilike kwa siku moja manake angekua na uwezo angeshafanya hiyo miujiza kwenye familia,kijiji,jimbo au kwenye CDM yake .yeye ni binadamu tu km alivyo JPM
 
kibatala anataka kutengeneza makundi ndani ya chama na lissu yanaweza kumkuta yaliyomkuta Dr.slaa, lowassa ndie mgombea 2020 na alishasema kabisa sasa huyo kibatala asubiri aone
Simsemi vibaya lakini Mzee Lowassa hana tena nafasi ya kushinda uchaguzi!! Na sababu kubwa ni kutokujitetea na kukitetea Chama na Wanachama leo wakiwa na mahitaji ya utetezi.
 
Hakuna nchi ya namna hiyo kwamba mtu akipigwa risasi tu basi atakua rais. Bila mipango thabiti hakuna lolote cdm itafanikiwa awamu hii. Kura za huruma huruma msizitegemee. Kwamba mimi ndio yule niliepigwa risasi nichagueni ha hahahaaaaa hiyo haipo
 
Kwani kosa akitoa maoni yake???

Kwani mbowe na EL ndio wapiga kura nchi nzima??

Kwahyo kma tume huru bado ndio wasipange mtu mapema?? Je tume ikipatikana 2019 watafanyeje ilihali hawajaandaa mgombea mapema??

We want our 2011 version of Waberoya back!!!

mkuu, mbona unaenda personal, naona ni bora nikuweke kwenye ignore list

ukimtafuta waberoya wa 2011 ni mchungu zaidi kwa mburulaz kama wewe
 
Back
Top Bottom