Wakili Kibatala: Natumaini Lissu Siku moja mbeleni utakuja gombea Urais wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakili Kibatala: Natumaini Lissu Siku moja mbeleni utakuja gombea Urais wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zawadi B Lupelo, Jul 28, 2017.

 1. Zawadi B Lupelo

  Zawadi B Lupelo JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2017
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 1,935
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  Hayo ameyaandika kwenye ukurasa wake wa facebook

  Anaandika Wakili Msomi Kibatala

  1. Fatma Aman Abeid Karume is a new Heroine of the struggle for Rule of Law. Kindly welcome her.

  2. Kuhusu watu fulani (sitaki hata kutaja kazi yao, sijui zao) kumzuia Wakili Karume kuzungumza Mahakamani baada ya Tundu Lissu kupata dhamana; kilichotupeleka Mahakamani ilikuwa kumpigania Rais wetu Tundu Lissu, na mengine yatashughulikiwa mbele ya safari. Mara nyingine case ya Lissu itakapokuja tutalizungumza hilo, pamoja na lile la hao nisiotaka kuwataja kuwazuia wanaopenda kusikiliza case kuingia Mahakamani wakati sina uhakika kama wametumwa na Mahakama kufanya shughuli hiyo.

  3. Nafahamu kwa uhakika kwamba Fatma Karume ameshafungua case ya madai dhidi ya wale (wapo wawili) waliokuwa mstari wa mbele kumzuia asitimize wajibu wake wa kutoa taarifa kwa wale waliopenda kufahamu nini kimeendelea Mahakamani leo. Ili kuleta somo; amewafungulia case kwa majina yao binafsi na si kwa majina ya taasisi yao (hata sitaki kuitaja).

  Nawaombea wamshinde kwa kuwa nina uhakika hawana uwezo binafsi wa kumlipa Fatma Karume fidia iwapo watashindwa case hiyo.

  Mwisho kabisa; 'haiwezekani mtu atetewe na Mawakili 18 halafu useme kuna tishio la usalama dhidi yake'.

  Viva Antipas Tundu Lissu Mughwai. I hope one day U will run for President of Tanzania.

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 2. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 26,026
  Likes Received: 41,540
  Trophy Points: 280
  Nimekuelewa vizuri sana

  Wafungulieni mashitaka wamezi kujisahau.

  Anaesota mahabusu kupigania haki zetu kugombea uraisi ni haki yake.
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2017
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,169
  Likes Received: 2,215
  Trophy Points: 280
  Lisu kwanza ni raia ?
   
 4. QUIGLEY

  QUIGLEY JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2017
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 24,689
  Likes Received: 73,318
  Trophy Points: 280
  Mimi binafsi naunga mkono harakati zake za kupigania haki za wanyonge, amefanyika sauti ya Watanzania wengi tangu misukosuko ya Migodini miaka ile. Lakini siungi mkono kuwa mgombea uraisi aliwahi kusema mwenyewe kwenye kipindi cha Mikasi hapendi urais bali ubunge. Akiwa raisi nani aikosoe serikali?

  Ni muhimu sana kuwakosoa watendaji wa serikali ili wawe makini katika kutimiza majukumu yao. Abaki kuwa mbunge tu.
   
 5. GENTAMYCINE

  GENTAMYCINE JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2017
  Joined: Jul 13, 2013
  Messages: 24,955
  Likes Received: 26,670
  Trophy Points: 280
  Mimi nilidhani Mawakili kwa kuwa wanajua sana Sheria basi na wao huwa siyo Waoga kama akina sisi Bush Lawyers. Kwani Kibatala angewataja tu hao akina ' Watu fulani ' na ' Taasisi ' zao angepungukiwa nini? Kama ameweza kumpigania Lissu na hata Watu wengine huko nyuma na wakatosha na kushinda Kesi zao tena nzito na ngumu kwanini leo anaogopa kutaja hao Watu na Taasisi zao wakati kama akikamatwa anao uwezo wa kujitetea na akashinda Kesi?

  au tuamini sasa ile Kauli ya ' Wahenga ' isemayo ' Mganga hajigangi? '

  Kibatala bhana!
   
 6. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2017
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,390
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  One day yes.
   
 7. Rich Pol

  Rich Pol JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2017
  Joined: Oct 11, 2013
  Messages: 7,649
  Likes Received: 3,436
  Trophy Points: 280
  Anaota mchana anatembea huyo, agombee kupitia chama gani? Kama ni chadema labda abadilishe kabila awe wa kaskazini.
   
 8. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2017
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 675
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Ameshasema amewafungulia kesi, huoni kwamba anaweza haribu au ingilia upelelezi au maamuzi ya mahakama? It's still to early to name them now but in the long run they will be known.
   
 9. agent sniper

  agent sniper Senior Member

  #9
  Jul 28, 2017
  Joined: Jul 3, 2017
  Messages: 182
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  hata sisi tunapenda agombanie lisu kwa asilimia 100 chadema mkitaka lisu agombanie mnavunja kichama chenu coz kuna watu wanauchu wa badaraka hapo sio rais timu lowassa kuwaachia au sumaye na mboye hawezi kengeuka kiivyo mnavyojipanga

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 10. mtwa mkulu

  mtwa mkulu JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2017
  Joined: Sep 11, 2013
  Messages: 2,318
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  bora agombee tumpoteze kama slaa
   
 11. 12STONE

  12STONE JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2017
  Joined: Mar 16, 2013
  Messages: 1,093
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Unajua nini maana ya Raia?
  Kama unajua basi haikupasi kuuliza swali la kishenzi kiasi hiki wakati unajua ni Mbuge wa Singida Mashariki kwenye jimbo lake ndiko uraia wake unakothibitika ama kuthibitishwa.
   
 12. Dragoon

  Dragoon JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2017
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 6,679
  Likes Received: 6,763
  Trophy Points: 280
  .
  Mku, Wakili Peter kibatala ni miongoni mwa mawakili wachanga tanzania. mara tu baada ya kuupata uwakili akaanza kutafuta "Kiki". ilifikia hatua akawa anatetea watu bure. Anaangalia kesi zinazofuatiliwa na umma. anajaribu kufuata nyayo za wakili mwingie anaitwa Magafu. Huyu magafu alianza hivihivi, sasa hivi sijui kakua... anafanya mambo yake kimyakimya.

  Kwa maana nyingine kibatala hawezi siasa. Mwaka 2015 alikurupuka akataka agombee ubunge, alipotezwa vibaya sana. Pili ni muoga sana tu. anapataga nguvu akiona waandishi wa habari.
   
 13. TangataUnyakeWasu

  TangataUnyakeWasu JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2017
  Joined: Dec 18, 2016
  Messages: 1,289
  Likes Received: 1,567
  Trophy Points: 280
 14. Dragoon

  Dragoon JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2017
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 6,679
  Likes Received: 6,763
  Trophy Points: 280
  Bora askari walivyomzuia Fatma karume kuongea na waandishi wa habari. Yule dada ni mropokaji sana. Alishawahi kumtukana matusi hakimu flani hadharani. Bahati nzuri walilifanyia kazi, Alipigwa ban ya uwakili, akarudi kanyooka kidogo. naona sasa kaanza tena
   
 15. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2017
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,481
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  Lowassa je?hahahaa Lissu muulize Chacha Wangwe.
   
 16. Dragoon

  Dragoon JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2017
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 6,679
  Likes Received: 6,763
  Trophy Points: 280
  Mtapiga sana kampeni lakini mwisho wake aibu. Kuna alieamini Dr Slaa angepotea kwenye ulingo wa siasa? ni mpinzai gani alishawahi kutikisa siasa za tz kama Mrema na Lowassa? mwisho wao ulikuwaje? Siasa za tanzania haziendeshwi kwa umaarufu, hasa katika nafasi ya uraisi.
   
 17. E

  Escrowseal1 JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2017
  Joined: Dec 17, 2014
  Messages: 901
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 60
  We mwache hapo Jamaa anamvutia pumzi.
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 74,597
  Likes Received: 97,099
  Trophy Points: 280
  #lissuthegreat2020 Chadema wasifanye makosa 2020. Lissu ndiye mgombea anayestahili kupeperusha bendera ya Chadema na UKAWA 2020 hili halina ubishi hata chembe.

   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 74,597
  Likes Received: 97,099
  Trophy Points: 280

  Ushahidi huu hapa.

   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 74,597
  Likes Received: 97,099
  Trophy Points: 280
   
Loading...