titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,572
- 9,764
kukaa jela/sero kwa kesi za kubambikiziwa ni suala la kawaida sana katika nchi zinazoongozwa kidhalimu yeye sie wa kwanza na wala hatakuwa wa mwisho,amekaa nabii yusuf,amekaa mandela miaka ishirini naa,wamekaa viongozi wa dini zenji miaka minne mimi mwenyewe nimekaa huko masiku kadhaa lakini leo niko uraiani,mwanaume haogopi jela,hususan kwa kesi za kusingiziwa.Haya basi tuone kama hicho Kiingereza feki kitamtoa huyo Lisu toka kolokoloni.
Haya basi tuone kama hicho Kiingereza feki kitamtoa huyo Lisu toka kolokoloni.