Wakili Jebra: Tunapoteza mawakili wengi ndani ya muda mfupi ndani ya siku za karibuni

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Chama chetu cha mawakili tuna database ya wanachama wetu!! Kila wakili akifariki lazima tupewe taarifa!!! Ila hizi siku za karibuni hizi taarifa kama zimezidi hivi!

Mungu asimame na Sisi!!! .
.
R.I.P Mawakili

IMG_20200505_104342.jpg
 
Wakili Jebra amejaribu kugusia huenda sababu ya kuwapoteza mawakili hao inaweza kuwa ni nini labda?
 
PKA mawakili, mmemaliza mwendo, nasi tupo njiani.
Hatuna hakika kama tutatoboa.....
 
Sija dhihaki mkuu. ARV, unene kupitiliza ni hatari mkuu
Anti Retro Virals siyo dawa za kunenepesha,ila hiyo ni side effect ya baadhi hizo ARVs.
Be informed, wanaotumia ARVs wanaweza kupata COVID-19 na wakapona naturally au kwa sababu combination mojawapo katika hizi ARVs ni Proteus Inhibitors used in treatment of COVID-19.
 
Anti Retro Virals siyo dawa za kunenepesha,ila hiyo ni side effect ya baadhi hizo ARVs.
Be informed, wanaotumia ARVs wanaweza kupata COVID-19 na wakapona naturally au kwa sababu combination mojawapo katika hizi ARVs ni Proteus Inhibitors used in treatment of COVID-19.
Kwa kinga ipi?
 
Chama chetu cha mawakili tuna database ya wanachama wetu!! Kila wakili akifariki lazima tupewe taarifa!!! Ila hizi siku za karibuni hizi taarifa kama zimezidi hivi!

Mungu asimame na Sisi!!! .
.
R.I.P Mawakili

View attachment 1440272
Mada nahisi imeandikwa na mwanasheria. Hapo ndipo kuna utata. Mwanasheria anaandika vitu ambavyo havieleweki ni hoja gani hasa anataka kuizungumzia.
Mosi: Unasema kila wakili akifariki chama chenu "lazima mpewe taarifa". Hivi ni nani huyo anayewajibika kuleta kwenu hizo taarifa? Jee, kuna kasoro katika utendaji wake?
Pili: Unalalamika kwamba taarifa za siku hizi zimekuwa nyingi mno. Jee, unamaanisha taarifa zingine zisiletwe kwa kuwa zimekuwa nyingi mno? Au unalalamika kwamba matukio ya vifo yamekuwa mengi mno? Kama hoja yako ni hiyo ya pili, hilo haliko mikononi mwa umma kulijadili na kuliwekea mkakati wa kulitatua. Ama wewe binafsi, au Chama chenu kwa ujumla mnaweza kumlilia Mola awahurumie na kupunguza matukio hayo. Kwa upande mwingine, inawezekana Mola ameona awakosoe kwa ishara hiyo kwa kuwa mnakiuka maadili ya kazi yenu. Kwa mfano wakili aliyeshikwa Arusha wiki jana kwa kutuhumiwa kuleta taharuki kwenye umma. Alikuwa anawaasa waandishi wa habari watoke maofisini kwao na kukusanya taarifa ya vifo kutokana na corona na kuzitolea taarifa kwa umma. Alidai kwamba anafahamu vifo hivyo vimekithiri mno. Cha kushangaza ni kwamba anataka hao waandishi wa habari wazitoe wapi hizo taarifa? Kama yeye mwenyewe ana taarifa hizo, angekuwa wa kwanza kuwapa hizo taarifa na kama hawakuziandika, hapo ndipo awakosoe kwamba hawautendei haki umma kwa kutotangaza habari hizo. Kutoa madai ambayo hana uhakika nayo kunasababisha taharuki ya bure kwenye umma.
 
Back
Top Bottom