Wakili Jebra Kambole: Mtu Mzalendo ni yule anayependa Nchi yake na siyo Serikali yake

Mtu ambaye ni mzalendo ni yule anayeipenda Nchi yake na sio serikali yake! Wakoloni walikuwa wanaserikali ulitaka wapendwe? Makaburu wa South Africa walikuwa wanaserikali ulitaka wapendwe, Mobutu, Idd Amin, Hitler wote walikuwa na serikali ulitaka wapendwe ?

Hii ni akili isiyojulikana kwa "mashabiki na makada wa wasiojulikana"
 
Hata kama ni Serikali inayoteka watu,UA watu, fungulua watu kesi za kihuni?Mbona Tanzania iliongoza mapambano kumtoa kaburu kwanini hamkuiacha ile serikali ya kaburu iendelee kuwatendea waafrika Yale waliyo kuwa wanawatendea?
Huwezi kulipenda Taifa lako bila kuipenda serikali yako,sababu Taifa ndio linakuwa limeichagua serikali iliyoko madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kweli akili zako matope. Kweli wananchi ndio wanachagua serikali. Sasa serikali ndio imeanza kuwaua wananchi, kwako wewe hapo wataipenda serikali au?
Huwezi kulipenda Taifa lako bila kuipenda serikali yako,sababu Taifa ndio linakuwa limeichagua serikali iliyoko madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule mrangi mpumbavu, eti anajengewa barabara ya rami kwenda kijijini kwake. Ndio wanamlipa fadhira, na mtoto wake wakampa ukurugenzi wa Mwanga DC.
Serikali ya Jiwe imechagulia na Tume Ya Uchaguzi sio wananchi.
 
Mtu ambaye ni mzalendo ni yule anayeipenda Nchi yake na sio serikali yake! Wakoloni walikuwa wanaserikali ulitaka wapendwe? Makaburu wa South Africa walikuwa wanaserikali ulitaka wapendwe, Mobutu, Idd Amin, Hitler wote walikuwa na serikali ulitaka wapendwe ?

Thanks Brother for telling the truth, some of us think that we can't differentiate between the Nation and Government.
Shame!.At least we studied Siasa during 1st Regimen.
 
Huwezi kulipenda Taifa lako bila kuipenda serikali yako,sababu Taifa ndio linakuwa limeichagua serikali iliyoko madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa ni nchi?Serikali ni nchi?Kinachokosolewa ni Serikali,je,wewe ndiyo mtetezi/msemaji wa Serikali?
Tudai Katiba ya Wananchi na iheshimiwe na Wananchi wore bila ubaguzi wowote.
 
Back
Top Bottom