Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,926
Hali ni mbaya sana mkuu. Mkulu yupo stay home stay safeKila mtu anajua kutukana. Iwe kwa kimombo au kiswahili. Ila nakustahi. Nyani haoni kundule.
Hali ni mbaya sana mkuu. Mkulu yupo stay home stay safeKila mtu anajua kutukana. Iwe kwa kimombo au kiswahili. Ila nakustahi. Nyani haoni kundule.
Kwahiyo Idris alikua mahakamani.. Ahsante kwa taarifa.Ukitaka kujua ni jinai au siyo nenda mahakamani kisha cheka weee huku kesi ikiendelea
Kuna picha hapo ilitrend ni ya rais Jpm na jamaa zake watatu yeye akiwa katikati. Inaonesha ni picha kama ya miaka zaidi ya 10 iliyopita.Mkuu hiyo ni picha ya nani?
Elewa wewe si lazima uwe na mwanasheria. Unaweza jiwakilisha mwenyewe kwa mujibu wa sheria. Nilikuuliza mwanasheria ndo nani baada ya wewe kutaka kuconclude kuwa mwanasheria kasema. Swala hapa si mwanasheria bali ni proof beyond reasonable daught! Hii ndo mahakama ungalia ili kumweka mtu hatiani katika upande wa makosa ya jinai. Siyo a mere say by an advocate to the public relied on medias. Kama unahitaji tuingie kisheria itakuwa vizuri. Pia nami naweza matusi sana. Ila ni nzuri kum.. ignore mtu atukanae, automatically tusi umrejea yeye mwenyewe. U pumbavu wa atukanae ujidhania yeye ni mjanja kumbe ujanja wake waweza kuwa ushenzi wa kutoelewa mambo.Wakili wa mchekeshaji ambaye amepewa Charge sheet ya mtuhumiwa Idris Sultan. Unajua ukishtakiwa unatakiwa uwe na representation kwenye mahakama au wewe hujui hilo wewe mpori mpori? Nimeona ulichoandika siyo kile unachokiamini....bali umeamua kujitoa ufahamu.
Hiyo picha nimeiona ila sijaona apo mtu ambae ni Rais mkuu..maana Mh.Magufuli amekua Rais wetu kuanzia 2015.Kuna picha hapo ilitrend ni ya rais Jpm na jamaa zake watatu yeye akiwa katikati. Inaonesha ni picha kama ya miaka zaidi ya 10 iliyopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ni picha yake. Hoja hapo kinachoongelewa ni nafsi yake, hata ingengelikuwa ya utotoni ni yake.Hiyo picha nimeiona ila sijaona apo mtu ambae ni Rais mkuu..maana Mh.Magufuli amekua Rais wetu kuanzia 2015.
Mkuu kwenye hiyo picha kuna Rais wa mwaka gani?Sasa ni picha yake. Hoja hapo kinachoongelewa ni nafsi yake, hata ingengelikuwa ya utotoni ni yake.
Ndiyo maana mtu anaweza akafanya makosa let say akiwa na umri wa miaka 20, lakini akaja kupatikana na hatia baada ya miaka 30 mbele huko.
Je Kwa kuwa atakuwa ni mtu mzima, ataiepuka adhabu kwa kuwa kavua umri ule na kuvaa umri mwingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yangu hapo ni kujibu picha ya nani.Mkuu kwenye hiyo picha kuna Rais wa mwaka gani?
Je,kucheka si maana mtu amefurai au siku hizi kucheka sio furaha tena?
Tena kaamua mwenyewe kuvaa oversize?mbona wenzake wa umri ule walikuwa wanatokelezea kimaridadi tu!Seriously! Yaani ni kosa kumcheka Rais? Tena picha ya mtu aliekuja kuwa Rais!!! Seriously?
Laughing as itself, is not a criminal offense....
May be, it becomes an offense with the way or style of laughing....
How a merely citizen like that young man from nowhere stand and laugh an old designed oversized suit of " The his Majesty, Excellence, Most high President John Pombe Magufuli??"
The action of this youngman has totally caused "emotional distress" to the president hence failing to properly perform his day to day duties...!!
Kosa la dogo ni la kujitambua. Kosa la kuishi maisha ya kizungu wakati yeye ni mtanzania mwenye asili ya kiafrika. Ni kosa la kutojua values zetu kama jamii ya kitanzania ni zipi. Huyu ndiye mwakilishi wa wote ambao wanaweza kutumiwa na maadui wa nchi yetu na akakubali pasipokuelewa madhara yake kwa jamii yetu. Ni kosa la kuwafundisha vijana wote tabia mbaya kwa kadri ya tamaduni zetu za kitanzania zinazotambua kuwa wakubwa hawapashwi kudhihakiwa. Kama watu wenye dhamana katika nchi hii hatuwezi kukubali huu ujinga kwakua una madhara kwa watoto wetu ambao tumewalea kwa misingi ya kitanzania.
Hata kukaa ndani tu inatosha kumfunza. Sheria zenyewe nyingi ziliwekwa na mkoloni then mnajificha nyuma ya kivuli cha sheria...Subiri akimaliza huyu Mh. Naingia mimi mpaka mnyooke kama rula.
Watu wanashindwa kuelewa,hajakamatwa sababu ya kumcheka,mbona hata wewe ukiamua unacheka Ile picha kwa Nini usikamatwe?
Hoja ni kwamba kwa Nini ucheke halafu utupie kwenye social media huku ukiicheka?
Kama angecheka weeeee kwenye social media bila ya picha Nani angehangaika nae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana. Hivi inawezekana vipi mfano unagandamizwa, kunyimwa haki, democrasia, uhuru wa kujieleza na kadhalika then ukawa tena unaunga mkono ugandamizaji huo dhidi yako?! Haya nayaona sana hapa Tanzania. Inasababishwa na nini?Hii habari ya "kumdhalilisha Mkuu wa Nchi" ni habari za Ujima tu.
Nchi zilizoendelea kama Marekani na Uingereza, rais Donald Trump, Malkia Elizabeth, Waziri Mkuu Johnson wanakuwa caricatured kila siku, na hakuna mtu anayefungwa kwa hilo.
Ni ushamba fulani unaochangia tuwe masikini.
Tunaheshimu sana watu fulani kuliko hata mifumo na uhuru.
Yani comedian kufanya comedy kwa rais ishakuwa shida?
Ushawahi kuona kipindi kinaitwa "Saturday Night Live" ?
Marekani, nchi ya makazi yangu, nchi iliyoendelea kiuchumi kwa kupitia figisu nyingi sana na kuweka misingi ya sheria, imejiwekea sheria hivi.Kwani ukicheka halafu urushe kwenye social media ndo inakuwaje?
Magufuli aache kunyanyasa watu.
Urais aliutaka mwenyewe. Urais unakuja na mambo mengi sana.
Rais anapaswa kuwa mvumilivu sana kushinda watu wengine. Magu anapaswa awe na ngozi nene.
Why is he so sensitive?
Idris hana kosa hapo.
The laugh was innocuous.
Ujinga na umasikini. Ukijitambua huwezi kuwa na akili za kishamba hivo.Kuna kitu huwa kinanishangaza sana. Hivi inawezekana vipi mfano unagandamizwa, kunyimwa haki, democrasia, uhuru wa kujieleza na kadhalika then ukawa tena unaunga mkono ugandamizaji huo dhidi yako?! Haya nayaona sana hapa Tanzania. Inasababishwa na nini?
Mungu wa miungu bwana wa mabwana alfa na omega nani kama yeye!Ujinga na umasikini. Ukijitambua huwezi kuwa na akili za kishamba hivo.
Yaani kumcheka kiongozi ni kosa. Wallahi tunapo elekea ni shimoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafuatilia sana habari za migawanyiko ya kisiasa. Nilitaka kujua kwa kiasi gani migawanyiko hii ni ya kimazingira, na kwa kiasi gani ni ya kibaiolojia.Kuna kitu huwa kinanishangaza sana. Hivi inawezekana vipi mfano unagandamizwa, kunyimwa haki, democrasia, uhuru wa kujieleza na kadhalika then ukawa tena unaunga mkono ugandamizaji huo dhidi yako?! Haya nayaona sana hapa Tanzania. Inasababishwa na nini?