Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

sanje

JF-Expert Member
May 12, 2018
303
250
Ujinga na umasikini. Ukijitambua huwezi kuwa na akili za kishamba hivo.
Yaani kumcheka kiongozi ni kosa. Wallahi tunapo elekea ni shimoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakaribia kufika shimoni we are almost there sebiri uone baada ya uchaguzi CCM itashinda kimabavu kwa 99% Kama Mugabe na hapo ndio tutaanza Safari rasmi ya kuelekea Zimbabwe
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,213
2,000
Cha ajabu Zaidi ni kukuta watu tena wengine wanaojiita wana mabadiliko kuona anavyofanyiwa huyu kijana ni sahihi.

Kwa hapa tulipofikia Tanzania na North Korea au Cuba tafauti yao ni nini?
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
51,639
2,000
Rais ndo raia namba moja hupaswi kuleta mizahamizaha ya kitoto kwa mkuu wa nchi ameshindwa kueleza kicheko chake alikua anamanisha ile ni dharau.
Rais anatakiwa kuwa na protection ndogo zaidi kwenye mambo ya kijamii kuliko raia wa kawaida.

Kwa sababu yeye alichagua mwenyewe kuwa mtumishi wa watu, kwa kutaka kazi yenye figisu nyingi sana.

Unaelewa hilo?

Unaelewa kwamba rais si bosi wa wananchi, ni mtumishi wa wananchi?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
85,458
2,000
Unaelewa kwamba rais si bosi wa wananchi, ni mtumishi wa wananchi?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Nadhani hapo ndo tatizo la msingi lilipo.

Maana ukishaelewa hilo, haya mengine yataangukia vizuri tu kwenye mkondo wake.

Maybe our civics curriculum need a revamp...
 
General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
14,694
2,000
Washauri wa Idriss sijui ni akina nani! Ile video tokea nilipoiona nilijua itamletea shida, kwa jinsi picha zile za ‘TBT’ za Rais zilivyoenea mitandaoni huku wengi wakifanya dhihaka haikufaa yeye kujifunga kibwebwe kuchekelea waziwazi.

Kwa hili umelivagaa Idriss, umepatikana...
Ni wazi Rais hakupendezwa na dhihaka zile, utayabeba machungu yake wewe mwenyewe!

Ukiponea hili uache kiherehere cha kurukia mambo, cheap stunts zitakuponza!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Shemeji,
Hadi ww upo low kiasi hiki?
Pamoja na mavitabu yote na stori mnazotuletea humu?
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
51,639
2,000
Shemeji,
Hadi ww upo low kiasi hiki?
Pamoja na mavitabu yote na stori mnazotuletea humu?
Perspective ni muhimu sana.

Najitahidi kutokuwa judgmental tumuulize zaidi kutaka kujua perspective yake, badala ya ku label low and high.

Ingawa mara nyingine ni vigumu sana.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Poyongo

Member
Jan 8, 2020
18
45
Rais anatakiwa kuwa na protection ndogo zaidi kwenye mambo ya kijamii kuliko raia wa kawaida.

Kwa sababu yeye alichagua mwenyewe kuwa mtumishi wa watu, kwa kutaka kazi yenye figisu nyingi sana.

Unaelewa hilo?

Unaelewa kwamba rais si bosi wa wananchi, ni mtumishi wa wananchi?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Hata kama ni mtumishi wa wananchi ndo tufanye kila tunachotaka? Huyo msanii amekosa vitu vya kuchekesha mpaka atumie picha ya rais? Dharau hizo aache kabisa
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
51,639
2,000
Hata kama ni mtumishi wa wananchi ndo tufanye kila tunachotaka? Huyo msanii amekosa vitu vya kuchekesha mpaka atumie picha ya rais? Dharau hizo aache kabisa
First of all, your argument is disjointed.

Unaposema "ndio tufanye kila tunachotaka" unamkusudia nani?

Mtumishi wa umma? Mwananchi asiye mtumishi wa umma?

Na nani kasema loloye kuhusu "tufanye kila tunachotaka"?

Kwa nini unaleta habari za "tufanye kila tunachotaka" ambazo hazipo katika mjadala, kwenye mjadala ambao unajadili mambo maalum na si "kufanya kila tunachotaka"?

Kwani mimi nimesema Idris afanye kila anachotaka?

Wapi nimeandika hilo?

Mbona unaleta hoja ambazo hazina kichwa wala mguu katika majadiliano ambayo yanalenga kujadiki vitu maalum?

Why do you want to paint me, a libertarian with clearly stated boundaries, as an anarchist with no boundaries?

Do you even know the difference?

Angekua anaicheka picha ya baba yako ungefurahi?
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
51,639
2,000
Angekua anaicheka picha ya baba yako ungefurahi?
Baba yangu si kiongozi aliyeomba kuwa katika position yenye figisu.

Unalinganisha vitu vyenye nuance in a very simplistic way.

Baba yangu watu walimfuata agombee ubunge. Akakataa. Kwa sababu hakutaka kazi ya siasa za kudanganya na yenye ulaghai na figisu nyingi.

Huyu ni mtu aliyeweka mbele heshima yake, hakutaka kuwa kwenye kazi inayomuondolea privacy yake na integrity yake.

Magufuli alikuwa na chaguo hilo. Akaamua mwenyewe kukubali kazi ya "ukubwa gunia la chawa". Sasa habari za kudhihakiwa zinakuja with that territory, with that job. Ni sehemu ya kazi hizo.

Ndiyo maana marais karibu dunia nzima wanachorwa vikatuni.

Sasa sisi tuna ushamba gani wa kuona rais anakejeliwa kuwa ni kitu cha ajabu?

Hivi mpaka sasa hujaelewa point yangu tu?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
8,021
2,000
Washauri wa Idriss sijui ni akina nani! Ile video tokea nilipoiona nilijua itamletea shida, kwa jinsi picha zile za ‘TBT’ za Rais zilivyoenea mitandaoni huku wengi wakifanya dhihaka haikufaa yeye kujifunga kibwebwe kuchekelea waziwazi.

Kwa hili umelivagaa Idriss, umepatikana...
Ni wazi Rais hakupendezwa na dhihaka zile, utayabeba machungu yake wewe mwenyewe!

Ukiponea hili uache kiherehere cha kurukia mambo, cheap stunts zitakuponza!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mr Bold hajambo, kitambo sijakutana na post yako
 
ndiga

Senior Member
Jan 28, 2014
116
225
Hivi siku hizi kucheka na kuzomea kuna maana moja nadhani haipasi kumwekea mtu mipaka ya kucheka pale anapoona kitu cha kumchesha, kwa hiyo angenuna tu, isitoshe yeye aliicheka picha tu angekuwepo mwenye picha pengine naye angemfanya acheke na kuongeza siku za kuishi.

Vitu vingine tunavikuza mno na kuonesha uhalisia hata kwa wasioona , kuna picha za kwako ukiziangalia unajikuta unacheka mwenyewe , halafu kinachokumfanya mtu acheke kinaweza kwa mwingine kisimchekeshe hivo yani.
Yeye ni mchekeshaji na ubongo wake ndivyo ulivyoumbwa na anachoona yeye kinachekesha mtu mwingine hataona kinachekesha, ndivyo ubongo ulivyo.

Ubongo unaweza ukakufanya ucheke ukimuona mtu mwingine na wengine watakushangaa, kicheko hicho si cha hiari yako. Tujiulize ikitokea kapandishwa kizimbani na hakimu au mtu yoyote akamcheka kwa muonekano wake naye amfungulie shitaka?

Kucheka hukuongezea siku za kuishi, laughter is the best medicine. Inatoka na ubongo kufanya imagination nyingi kichwani mwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
1,707
2,000
Ninachoweza kuwahakikishia ni hiki, Idris hatafungwa wala kudhurika na sababu kubwa ni mbili.

1. Ana mtaji mkubwa sana wa vijana wanaompenda ambao nguvu kubwa imekuwa inatumika kuwashawishi. Sidhani kama Serikali itataka wapoteze ushawishi huo kwa jambo dogo kama hili.

2. Ni muislamu. Niliwahi kuleta uzi nikisema kwa utafiti wa haraka haraka niliofanya, wengi wa watu maarufu walioliona joto la jiwe sana awamu hii ni wakristo. Nadhani calculus ya kisiasa kipindi hiki inawapa ulinzi fulani waislamu. Angalia wangapi waliotekwa wakarudi, wote ni Waislamu.

Senti zangu mbili.
 
Top Bottom