Wakili feki akamatwa Mahakama Kuu, abainika baada ya kumsalimia Jaji Shikamoo

Jaji Mkuu,TLS,AG Chambers wafanye uhakiki wa mawakili binafsi,vyeti,ofisi,library
Umrnivhekesha sana mkuu. Hii inanikumbusha miaka ya huko Clearing and fowarding ofisi nje mtaa wa mkwepu ama salamanda.
 
jamaa alimsalimia jaji ' shikamoo kaka'....jaman mwisho wa mwaka kuna vituko sana TANZANIA...hasa huu utawala wa MAGUFULI TUTAJIONEA MENGI SANA....daaah
IMG-20171109-WA0007.jpg
 
Alimsalimia hivo during Court Session au kwenye corridors za mahakama? Kama ni kwenye corridor salamu hiyo hua hairuhusiwi? Kama alimuamkia wakati wa kuendesha case basi alilikoroga, na huyo mteja wake anasema alimtolea wapi?
 
Sawa na jeshini useme shkamo afande badala ya "jambo afandee"
Authentication za kunasa "soja feki" mbona ni nyingi tu?
Mfano mwenye alama kubwa ya cheo, kusimama ama "kukauka" na kumsalimia mdogo.
Kwenye jeshi vipengele vya kumnasa feki ni vingi mno, hawezi ishi saa 24 hajabambwa.
 
Katika taasisi ambayo ni rahisi kufanya udanganyifu ni mahakama. Mabushlawyer wengi wanaranda randa mahakamani na nguo nyeusi na Gibbs utafikiri ni wanasheria kumbe hata cheti cha sheria hana. Anaanza kidogo kidogo kwa kuwatafutia dhamana washtakiwa, baadaye anajipenyeza kwa wakili yoyote kuwa afisa masoko wake kumtafutia wateja, akishaazoea kwenye corridor za mahakama anahamia mkoa mwingine huko ndiko anajifanya wakili kamili sasa. Na kwakuwa siku hizi hawaumizi kichwa tena kama zamani enzi za akina mwalushanya ambapo wakili lazima alete written submission kwa kuandika kwa lugha ya kitaaluma na kushawishi kwa rejea nyingi za authority , writing za wataalamu na persuasive basi unakuta anaweza kufanya cross examination jambo ambalo ni rahisi kwani li kucheza na logic tuu wala sii sheria kwa sana
 
Back
Top Bottom