Wakili Chavula: Watake wasitake wakili wa Jamhuri ni Wakili wa Mahakama

MAHAKAMA SIO MAMA ZENU
Mheshimiwa JaJi, usiopokee barua za watuhumiwa hawa,ni TAKATAKA tu hizo. Zitakuchafua mikono JaJi wetu wa serikali.
WATAKE WASITAKE wewe ni JaJi wa Samia na CCM tu. Wakatafute JaJi wao huko awape haki.
“”SHITHOLE KANTRY “”
 
Turudi kwenye mabaraza ya kimila kuamua kesi zetu. Mahakama tuachane nayo ishapoteza mwelekeo.
Ni kweli kabisa kule hakuna cha kusema umekiuka kanuni au sheria bali ni ukweli tu unatafutwa!
 
Hivi hamna namna kwa hii kesi washitakiwa kuomba isikilizwe na majaji/jaji kutoka nchi zingine wanachama wa jumuia ya madola?
 
You are misconstruing his statement. Mawakili wote ni Judiciary, right? That means Kibatala na fatmakarune and Chavula are all ifficers of the court, so they are Judiciary. Yet Chavula is not paid by the hour, he is a civil servant. To that end he is part of the executive. The good thing about Tanzanua is that our Lawyers are quite aware of their circumstances and they adhere tovtgeir ethics. Libganisha na watu kama James Orengo.
 
Mwenye picha ya Chavula tafadhali
Huyo hapo na wakili wake na ushahidi wao.
IMG_20211125_091631.JPG
 
Kauli hiyo aliitoa wakili mwandamizi wa serikali Bw. Chavula jana tarehe 26 Novemba 2021 katika kesi ya ugaidi inayomuhusu Mbowe ndani ya Mahakama Kuu ya uhujumu uchumi jijini Dar es Salaam. Nini maana ya kauli hii?

Je, ni kwamba hakuna tena muhimili wa mahakama? Na kwamba mahakama na serikali ni kitu kimoja kwa mujibu wa katiba?

Je, uhuru wa mahakama tayari umepokwa na serikali?
Je, wananchi tutegemee nini tunapokuwa mbele ya Mahakama?
Je, mahakama ina uwezo wa kutoa haki bila kuingiliwa na serikali?

Ni maswali mengi ambayo yamo vichwani mwetu yanayotakiwa kupatiwa majibu vinginevyo mahakama inaelekea kupoteza hadhi yake kama muhimili inayojitegemea.
Yule mpumbavu aliyefariki ameharibu mambo mengi sana. Mifumo imepooza kwa sababu yake.
 
You are misconstruing his statement. Mawakili wote ni Judiciary, right? That means Kibatala na fatmakarune and Chavula are all ifficers of the court, so they are Judiciary. Yet Chavula is not paid by the hour, he is a civil servant. To that end he is part of the executive. The good thing about Tanzanua is that our Lawyers are quite aware of their circumstances and they adhere tovtgeir ethics. Libganisha na watu kama James Orengo.
I think the opposite is correct! Wewe unapotosha officer of the court is not the same as the advocate of judiciary! Ndiyo sababu hata Jaji alimshangaa Chavula! Mawakili wote wawe wa serikali au binafsi wanawakilisha clients to the court of law.

Kwa kesi ya Mbowe, Bw. Chavula anawakilisha serikali na Kibatala anamwakilisha Mbowe. Wote serikali na Mbowe ni clients!
 
Kauli hiyo aliitoa wakili mwandamizi wa serikali Bw. Chavula jana tarehe 26 Novemba 2021 katika kesi ya ugaidi inayomuhusu Mbowe ndani ya Mahakama Kuu ya uhujumu uchumi jijini Dar es Salaam. Nini maana ya kauli hii?

Je, ni kwamba hakuna tena muhimili wa mahakama? Na kwamba mahakama na serikali ni kitu kimoja kwa mujibu wa katiba?

Je, uhuru wa mahakama tayari umepokwa na serikali?
Je, wananchi tutegemee nini tunapokuwa mbele ya Mahakama?
Je, mahakama ina uwezo wa kutoa haki bila kuingiliwa na serikali?

Ni maswali mengi ambayo yamo vichwani mwetu yanayotakiwa kupatiwa majibu vinginevyo mahakama inaelekea kupoteza hadhi yake kama muhimili inayojitegemea.
Ana kiburi huyo jamaa! Halafu inasemekana ni TISS aliyewekwa huko kipindi cha JPM!
 
Hivi hamna namna kwa hii kesi washitakiwa kuomba isikilizwe na majaji/jaji kutoka nchi zingine wanachama wa jumuia ya madola?
Nami niliwaza jambo kama hili japo sijui kama inawesekana.
 
Back
Top Bottom