Mkuu Duuh, ahsante sana nimekaona kakitu kanakomchanganya The platinumzzz. Lakini mbona kamesinyaaa hv! The platinumzzz ana haki ya kusepea kwa The mwegeleooozzzz.Jamani hivi hawa dada zetu wanakwenda wapi? Huyu alliimbwa mwanza fiesta kuwa ni kahaba akawaka kweli kweli na kilio juu, sasa kama una behave kama picha invyoonyesha kuna kosa ukiitwa kahaba? Hii ilikuwa Morogoro Fiesta
Kazi ipo!!! Cheap Popularity ni gharama kweli kweli!