Wakiitwa makahaba kutoka bongo movie kuna makosa?

T 2015 CDM

Member
Sep 6, 2012
39
10
Jamani hivi hawa dada zetu wanakwenda wapi? Huyu alliimbwa mwanza fiesta kuwa ni kahaba akawaka kweli kweli na kilio juu, sasa kama una behave kama picha invyoonyesha kuna kosa ukiitwa kahaba? Hii ilikuwa Morogoro Fiesta

Kazi ipo!!! Cheap Popularity ni gharama kweli kweli!
 

Attachments

  • kahaba wema.jpg
    kahaba wema.jpg
    37.1 KB · Views: 3,325
Sodoma na Gomora walianza hivi hata wakafika mahali wakawakiana tamaa watu wa jinsia moja. Tz tunaenda wapi? WAZAZI HAWAPO kukemea wasichana wao kutembea uchi au vijana wakiume kuvaa kata K?
 
wanawinda mchana kweupee,halafu hawana hata hadhi ya kuitwa makahaba,labda vidada vichafu chafu visivyo na hadhi vitumiavyo miili yao kama chakula cha sherehe.
 
Wana JF,

Nasikia havai chupi siku hizi???????

Kuna mambo mengine sio ya kuiga jamani alafu mkichwa nako hawa dada zangu wa Bongo Movie kuwe kunafanya kaziiiiiii maaana hii ni kujishushia hadhi na kuonekana kweli ni makahaba.
 
Uchi, uchi wa nini katika jamii? Heshima ndio tunataka watoto vijana kwa wazee. Mtu ajiheshimu kwa hali na mali kuna magonjwa sugu siku hizi. Mvao wake unakarahisha.
 
Hao ni malaya wa kawaida kabisa na hapo wako mawindoni,

Halafu amini usiamini bei yao ni cheap ile mbaya, yaani popularity yako tu au kumnywesha redds au kumpa offer ya kulala hoteli kali yoyote kwenye mji aliofikia, hapo mzigo unaliwa kavu.

Tetesi za karibuni kabisa toka kwenye msafara wa Fiesta unaopita mikoani zinadai Wema Sepetu na Anti Ezekiel wamekuwa wakitoa huduma ya fastafasta kama pipi na ndio siri ya wao kuvaa nguo fupi tena bila chupi ili kurahisisha biashara.
 
kufanyika mambo kama haya ilipaswa kuwa katika hali ya siri lakini sielewi sehemu ya akili ya kuelewa hili kwa wenzetu imehamia wapi!!!
alafu bwana Mungu alivyo wa ajabu, baadae nao wanazaa watoto na kuitwa 'mama'!
 
kufanyika mambo kama haya ilipaswa kuwa katika hali ya siri lakini sielewi sehemu ya akili ya kuelewa hili kwa wenzetu imehamia wapi!!!
alafu bwana Mungu alivyo wa ajabu, baadae nao wanazaa watoto na kuitwa 'mama'!


Kuna baadhi yetu katika jamii wanwathamini hawa watu na matendo yao kwa jinsi ambayo huwezi kuamini. ...kama unabisha hebu ingia kwenye website ya 'shigongo', huyu dada ndiye yupo kama welcoming figure!
 
Ni kichefuchefu alafu wanajiita wasanii!!! mi ndio maana bongo movie siwezi kuziangalia kwanza hazina ubora, pili vaa ya madada zetu ni kichefuchefu. ghaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ttu (yaani nimetema mate)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom