Wakifanikiwa kumkosesha sifa za kugombea nafasi yoyote katika uchaguzi wa mwakani,watu hawa hawawezi hakikishi hapati hata nafsi ya kupiga kampeni?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Kwa sasa hakuna mwanasiasa anaeogopwa na watu wa chama cha kijani kama kamanda wetu ambae ni kiboko ya bwana yule na hivyo sitashangaa zikafanyika fitina za kisiasa za kuhakikish hashiriki hata kampeni za uchaguzi mwakani ikiwa watafanikiwa kumkosesha sifa za kuwa mgombea wa nafasi yoyote ya kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao.

Wakifanikiwa kumkosesha sifa za kugombea nafasi yoyote katika uchaguzi wa mwakani,bado wanaweza kuona haitoshi kutokana na kuhofia ushiriki wake katika kampeni za kuwanadi wagombea wengine hivyo kwa hofu na woga, wanaweza kumuundia zengwe lingine ikiwa ni pamoja na kumuweka kolokoloni kipindi chote cha kampeni kuhakikisha hapandi majukwaani kumnadi mgombea yoyote yule hasa wa ile nafasi nyeti kuliko zote.

Kama nilivyowahi kusema,japo hawategemea sanduku la kura kushinda,ila bado wangetamani sana washinde kupitia sanduku la kura ili ushindi unoge hivyo ni lazima wapambane kujaribu kushinda kupitia sanduku la kura kabla ya kufikiria njia nyingine kama ile ya kufanikisha ushindi kwa njia ya "bao la mkono".

Binafsi sina imani na hawa watu kabisa na kwakweli wanaweza fanya lolote bila hata aibu kama ambavyo teyari wameshafanya mpaka sasa.
 
Wamebaki kujikosha tu majukwaani!1!

Watateseka sana!!
Rais ana roho mbaya.
Watanzania sio wajinga hata rais anajua.
Uchaguzi wa serikali za mitaa rafu na hujuma zitakuwa nyingi.
Lolote laweza kutokea katka uchaguzi huu.
Ccm ni chama cha wahuni plus rais mwenyewe.
Watanzania waipende ccm kwa lipi haswaa?
Hakuna elimu,
Hakuna maji,
Hakuna ajira.
Hakuna huduma bora hospitalini ,
Hakuna zahanati.
Hakuna umeme.
Maisha yamekuwa magumu mara dufu.
 
Ukipanda jukwaani na ukaanza kuyataja mapungufu/maovu ya awamu hii,lazima wakukamate.

Sasa 2020 sijui watazuia watu kusema?!

Wacha tusubiri.
 
Ukipanda jukwaani na ukaanza kuyataja mapungufu/maovu ya awamu hii,lazima wakukamate.

Sasa 2020 sijui watazuia watu kusema?!

Wacha tusubiri.
"There is no easy walk to freedom any where and among of us will have to pass through the valley of the shadow of death again again before we reach the mountain top of our desire" Nelson Mandela.
 
"There is no easy walk to freedom any where and among of us will have to pass through the valley of the shadow of death again again before we reach the mountain top of our desire" Nelson Mandela.
Huu ni ukweli ambao ni applicable dunia nzima na historia ya dunia inathibitisha maneno haya ya Mzee Mandela.
 
Lisu mbunge wa jimbo la Acacia
Hawa wanaume wamewafanya kitu mbaya na kila kitu mtaachia na kuwapa ndugu zao.

No wonder Jiwe yuko kimya kama hakuna kilichotokea.

Akili zenu ni kama za Chifu Mangungu kwani mmeingia makubaliano ya hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom