Wakianza wachezaji hawa, Simba anaweza kupata point 1 Congo

Peter Muduwa hawezi anza 1st eleven mechi yake ya kwanza na Simba na mechi kubwa atakaa Wawa hapo pia hawezi kuweka viungo wakabaji watatu, mmoja kati ya Mzamiru na Nyoni ataanzia benchi halafu Bwalya ataanza
 
Nafasi ya Bwalya acheze Mzamiru, kusaidia kukaba juu
 
Back
Top Bottom