Shirika la Kenya la Mobius Motors,limetangaza rasmi kuingiza sokoni gari zake za bei nafuu sana,zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya kuweza kumudu barabara za africa,gari ina nafasi ya watu nane na ina milango miwili tu,na ili iwe ya bei nafuu haikuwa na mapambo mengi,ina uzito wa 1275KG,na inauwezo wa kubeba mizigo ya 625KG,na ina uwezo wa kukata masafa ya 120KM kwa saa moja.
Angalia video hiyo kupitia you tube:
Angalia video hiyo kupitia you tube:
Attachments
Last edited by a moderator: