Wakenya watengeneza gari ya kwao kwa asilimia 98%, Watz tunalichukuliaje hili?

pale mwanza kuna mtaa unaitwa "MAKOROBOI " nasikia ni mabigwa wa kutengeneza hizo taa.
made in Tanzania
 
hata uganda niliwahi sikia university of makerere walitengeneza gari. Ila tanzania siku tukiacha maneno mengi yasiyo na vitendo, nyumbu inawezakuwa kiwanda kikubwa cha magari africa nzima. ni suala la maamuzi tu.
 
Back
Top Bottom